Loading...
title : HAWA NDIYO WANAHUSIKA NA NEYMAR KUTUA REAL MADRID
link : HAWA NDIYO WANAHUSIKA NA NEYMAR KUTUA REAL MADRID
HAWA NDIYO WANAHUSIKA NA NEYMAR KUTUA REAL MADRID
MWAMBA WA HABARIIgawa kumekuwa na kukwepa maneno hapa na pale, imeelezwa kuwa Real Madrid imekuwa ikifanya juhudi ikiwa ni pamoja na kuwatumia wachezaji kadhaa kuhakikisha wanamnasa Neymar.
Wachezaji wanaotumika ni wale raia wa Brazil walio katika kikosi hicho cha mabingwa wa Ulaya lakini hata wale wakongwe waliowahi kuitumikia.
Marcelo na Casemiro ni kati ya wanaotumiwa na Madrid kuhakikisha inamnasa Neymar kutoka PSG na kumrejesha Ufaransa lakini safari hii Madrid.
Neymar aliwahi kutua Madrid akiwa kinda lakini baadaye akarejea nchini Brazil na kuendelea na timu yake ya Santos ambayo ilimkuza kisoka, kumfaya awe maarufu kabla ya kujiunga na FC Barcelona.
Hivyo makala HAWA NDIYO WANAHUSIKA NA NEYMAR KUTUA REAL MADRID
yaani makala yote HAWA NDIYO WANAHUSIKA NA NEYMAR KUTUA REAL MADRID Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HAWA NDIYO WANAHUSIKA NA NEYMAR KUTUA REAL MADRID mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/hawa-ndiyo-wanahusika-na-neymar-kutua.html
0 Response to "HAWA NDIYO WANAHUSIKA NA NEYMAR KUTUA REAL MADRID"
Post a Comment