Loading...

OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MASOMO YA KEMIA NA BAIOLOJIA KITAIFA

Loading...
OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MASOMO YA KEMIA NA BAIOLOJIA KITAIFA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MASOMO YA KEMIA NA BAIOLOJIA KITAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MASOMO YA KEMIA NA BAIOLOJIA KITAIFA
link : OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MASOMO YA KEMIA NA BAIOLOJIA KITAIFA

soma pia


OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MASOMO YA KEMIA NA BAIOLOJIA KITAIFA

 Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Mohamed Bakari akizungumza katika hafla ya kuwatunukia wanafunzi Kidato cha Nne na cha Tano waliofanya vizuri kitaifa katika masomo ya Sayansi, Baioloji na Kemia iliyofanyika kwenye makao makuu ya Wakala wa Maabara ya  Mkemia Mkuu wa Serikali barabara ya Barack Obama jijini Dar es salaam.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Maabara  ya Mkemia mkuu wa Serikali Elen Hellen Jason akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika makao makuu ya mamlaka hiyo jijini Dar es salaam.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Maabara  ya Mkemia mkuu wa Serikali Elen Hellen Jason akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika makao makuu ya mamlaka hiyo jijini Dar es salaam.
 Dk Fidelice Mafumiko  Mkemia Mkuu wa Serikali akizungumza na kutoa maelezo kadhaa wakati wa kuwatunikia zawadi wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo ya Sayansi, Kemia na Baioloji katika hafla iliyofanyika jijini Dar es salaam.
 Picha mbalimbali zikionyesha wanafunzi wakipokea vyeti na zawadi katika hafla hiyo.
Baadhi ya wazazi wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wanafunzi waliotunukiwa zawadi wakifuatilia hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakiwa katika hafla hiyo
Mgeni rasmi kutoka wizara ya afya ambaye ni mganga mkuu wa serikali Profesa Mohamed Bakari pamoja na viongozi wa Wakala wa Maabara ya  Mkemia mkuu wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi hao.


Hivyo makala OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MASOMO YA KEMIA NA BAIOLOJIA KITAIFA

yaani makala yote OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MASOMO YA KEMIA NA BAIOLOJIA KITAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MASOMO YA KEMIA NA BAIOLOJIA KITAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/ofisi-ya-mkemia-mkuu-wa-serikali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MASOMO YA KEMIA NA BAIOLOJIA KITAIFA"

Post a Comment

Loading...