Loading...
title : INFINITY GYM YAWASHAURI WANAOFANYA MAZOEZI KUNYWA MAZIWA YA ASAS
link : INFINITY GYM YAWASHAURI WANAOFANYA MAZOEZI KUNYWA MAZIWA YA ASAS
INFINITY GYM YAWASHAURI WANAOFANYA MAZOEZI KUNYWA MAZIWA YA ASAS
Na Said Mwishehe,Globu ya Jamii
WATANZANIA ambao wanafanya mazoezi wameshauriwa baada ya kumaliza mazoezi wanywe Yoghurt(maziwa) ya Asas kwani husaidia kulainisha misuli.
Ushauri huo umetolewa na Meneja Masoko wa Infinity Fitness Gym Sia Ndaskoi wakati anazungumzia umuhimu wa kufanya mazoezi sambamba na unywaji wa maziwa ya Asas.
Amesema wanafahamu kuwa baada ya kufanya mazeozi mhusika hupata kiu , hivyo badala ya kunywa maji ni vema akanywa maziwa hayo ambayo kwa sehemu kubwa yatamfanya mwili wake misuli kuachia haraka na kumuondelea maumivu ya mwili.
Amesema mtu anayefanya mazoezi mwili wake unakuwa imara na hausumbuliwi a magonjwa na hivyo ametoa mwito kwa wananchi kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi na kasha wasisahau kunywa maziwa ya Asas.
Ndaskoi ambaye pia amewahi kushiri mashindano ya Miss Tanzania mwaka 2009 amesema kwa anayefanya mazoezi inakuwa ngumu kuzeeka mapema , hivyo ushauri wake ni watanzania kujikita kufanya mazoezi ambayo pia husaidia kuondoa mafuta mwilini na hata kwa aliye na msongo wa mawazo akifanya mazoezi yanamsaidia kuuondoa mawazo.

Meneja wa Infinity Fitness Gym Sia Ndaskoi wa Infinity Fitness Gym Sia Ndaskoiwa pili kutoka kushoto akiwa na wafanyakazi wenzake kwenye banda la ASAS kwenye maonyesho ya biashara ya TANTRADE viwanja vya Sabasaba jijini Dar es salaam leo.
Meneja wa Infinity Fitness Gym Sia Ndaskoi wa Infinity Fitness Gym Sia Ndaskoi wa pili kutoka kushoto akiwa na wafanyakazi wenzake wakionyesha baadhi ya vifaa vya mazoezi kwenye banda la ASAS kwenye maonyesho ya biashara ya TANTRADE viwanja vya Sabasaba jijini Dar es salaam
Hivyo makala INFINITY GYM YAWASHAURI WANAOFANYA MAZOEZI KUNYWA MAZIWA YA ASAS
yaani makala yote INFINITY GYM YAWASHAURI WANAOFANYA MAZOEZI KUNYWA MAZIWA YA ASAS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala INFINITY GYM YAWASHAURI WANAOFANYA MAZOEZI KUNYWA MAZIWA YA ASAS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/infinity-gym-yawashauri-wanaofanya.html
0 Response to "INFINITY GYM YAWASHAURI WANAOFANYA MAZOEZI KUNYWA MAZIWA YA ASAS"
Post a Comment