Loading...
title : Matukio ya mbalimbali ya maonesho ya Sabasaba
link : Matukio ya mbalimbali ya maonesho ya Sabasaba
Matukio ya mbalimbali ya maonesho ya Sabasaba
WAZIRI wa Viwanda na Uwekezaji , Charles Mwijage (wa pili kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Mtafiti Msaidizi wa Kampuni ya Camartec ya Arusha, Mhandisi Noela Byabachwezi kuhusu zana za kilimo zinazotengenezwa na kampuni hiyo, katika viwanja vya Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa, yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam, jana.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara ya Kimataifa Tanzania (TANTRADE), Edwin Rutageruka
.Meneja Biashara wa Kampuni ya Tigo, Wande Shisael, akiongea na waandishi wa habari, kuhusu kampuni hiyo kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Biashara ya Kimataifa Tanzania (TANRADE) kuandaa maonyesho 42 ya kimataifa ya Biashara iashara maarufu kama Sabasaba, yanayofanyika kiatika viwanja vya maonyesho vya Mwalimu Julius Nyerere, , Dar es Salaam, jana. Kushoto ni Meneja Ukuzaji Biashara wa TANTRADE, Stephrn Koberou.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dr.Mathias Lugoye, (kulia) akiwapa maelezo wananchi waliotembelea banda la chuo hicho, katika Maonyesho ya Kimataifa ya 42 ya Biashara, yanayofanyika katika Viwanja vya Maonyesho vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam, jana, kuhusu teknolojia ya usindikaji bidhaa inayobuniwa na chuo hicho.
Meneja wa Mawasiliano wa VETA, Sitta Peter akitoa maelezo kwa wananchi wanaotembelea Maonyesho ya Kimataifa ya 42 ya Biashara, yanayofanyika katika Viwanja vya Maonyesho vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam, , kuhusu nafunzo ya ufundi yanazalishwa na VETA
Wananchi wakipata maelezo kuhusiana na ufundi mbalimbali unaotolewa na vyuo vya VETA. Picha na Chalila Kibuda wa Globu ya Jamii
Hivyo makala Matukio ya mbalimbali ya maonesho ya Sabasaba
yaani makala yote Matukio ya mbalimbali ya maonesho ya Sabasaba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio ya mbalimbali ya maonesho ya Sabasaba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/matukio-ya-mbalimbali-ya-maonesho-ya.html
0 Response to "Matukio ya mbalimbali ya maonesho ya Sabasaba"
Post a Comment