Loading...
title : KAMPUNI YA MAGARI YA KOREA YA TATA DAEWOO YAZINDUA TRUCK YA KISASA
link : KAMPUNI YA MAGARI YA KOREA YA TATA DAEWOO YAZINDUA TRUCK YA KISASA
KAMPUNI YA MAGARI YA KOREA YA TATA DAEWOO YAZINDUA TRUCK YA KISASA
Kampuni ya magari ya Korea ya TATA Daewoo yazindua Truck ya kisasa inayohimili barabara zisizo na lami vijijini. Wafanyabiashara wa usafirishaji sasa kutumia gharama ndogo kuendesha biashara hiyo.
Mkuu wa usambazaji wa magari ya Daewoo Truck kwa bara la Afrika, leo Brand akizungumzia jinsi wafanyabiashara wanavyoweza kutumia magari hayo kusafirisha bidhaa za vyakula kutoka mashambani ambako barabara zake hazina lami na kumrahishia kufika sokoni kwa wakati kwa kuwa magari hayo yanahimili changamoto za barabara zisizo na lami.
Kampuni ya magari ya Korea ya TATA Daewoo yazindua Truck ya kisasa inayohimili barabara zisizo na lami vijijini. Wafanyabiashara wa usafirishaji sasa kutumia gharama ndogo kuendesha biashara hiyo.
Mtunishi misuli akionehsa umahiri wake katika fani hiyo wakati wa uzinduzi wa gari ngumu ya kubebea mizigo ya Truck Daewoo jijini Dar es Salaam.
Daewoo Truck iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala KAMPUNI YA MAGARI YA KOREA YA TATA DAEWOO YAZINDUA TRUCK YA KISASA
yaani makala yote KAMPUNI YA MAGARI YA KOREA YA TATA DAEWOO YAZINDUA TRUCK YA KISASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA MAGARI YA KOREA YA TATA DAEWOO YAZINDUA TRUCK YA KISASA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/kampuni-ya-magari-ya-korea-ya-tata.html
0 Response to "KAMPUNI YA MAGARI YA KOREA YA TATA DAEWOO YAZINDUA TRUCK YA KISASA"
Post a Comment