Loading...
title : KATIBU MKUU MPYA JUMUIYA YA WAZAZI AKABIDHIWA RASMI OFISI, LEO
link : KATIBU MKUU MPYA JUMUIYA YA WAZAZI AKABIDHIWA RASMI OFISI, LEO
KATIBU MKUU MPYA JUMUIYA YA WAZAZI AKABIDHIWA RASMI OFISI, LEO
Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima (kushoto) akipokea vitendekazi kutoka kwa Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban Mohamed katika makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo jijini Dae es Salama
Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi, Erasto Sima (kushoto) akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban Mohamed wakati akizungumza katika makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo jijini Dae es Salama
Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima (kushoto) akipokea vitendekazi kutoka kwa Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban Mohamed katika makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo jijini Dae es Salama
Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima akizungumza na waandishi wa habari baada ya makabidhiano ya ofisi
Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Seif Shaaban Mohamed akimkaribisha kuzungumza na Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima na baadhi ya viongozi wa Jumuiya hiyo, mwishoni mwa makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo jijini Dae es Salama. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.
Hivyo makala KATIBU MKUU MPYA JUMUIYA YA WAZAZI AKABIDHIWA RASMI OFISI, LEO
yaani makala yote KATIBU MKUU MPYA JUMUIYA YA WAZAZI AKABIDHIWA RASMI OFISI, LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU MPYA JUMUIYA YA WAZAZI AKABIDHIWA RASMI OFISI, LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/katibu-mkuu-mpya-jumuiya-ya-wazazi.html
0 Response to "KATIBU MKUU MPYA JUMUIYA YA WAZAZI AKABIDHIWA RASMI OFISI, LEO"
Post a Comment