Loading...
title : KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MRATIBU MKAZI WA MASHIRIKA YA UN NCHINI
link : KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MRATIBU MKAZI WA MASHIRIKA YA UN NCHINI
KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MRATIBU MKAZI WA MASHIRIKA YA UN NCHINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda (kulia) akizungumza na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa, Bw. Alvaro Rodriguez alipofika Wizarani tarehe 11 Juni, 2018 kwa ajili ya kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusu ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na Serikali ya Tanzania pamoja na utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG's) hapa nchini. Kwa upande wake, Prof. Mkenda alipongeza Mpango wa One UN unaotekelezwa na Ofisi za Umoja wa Mataifa hapa nchini kwa vile unarahisisha utekelezaji wa majukumu na kushukuru ushirikiano mzuri uliopo kati ya Umoja wa Mataifa na Tanzania hususan katika program za kupunguza umaskini na maendeleo endelevu.
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimatifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Celestine Mushy akiwa na Afisa Mambo ya Nje, Bi. Eva Ng'itu wakifuatilia mazungumzo kati ya Prof. Mkenda na Bw. Rodriguez hawapo pichani
Bw. Rodriguez nae akimweleza jambo Prof. Mkenda
Mazungumzo yakiendelea
Picha ya pamoja
Hivyo makala KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MRATIBU MKAZI WA MASHIRIKA YA UN NCHINI
yaani makala yote KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MRATIBU MKAZI WA MASHIRIKA YA UN NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MRATIBU MKAZI WA MASHIRIKA YA UN NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/katibu-mkuu-wa-mambo-ya-nje-akutana-kwa_11.html
0 Response to "KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MRATIBU MKAZI WA MASHIRIKA YA UN NCHINI"
Post a Comment