Loading...
title : Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani Laadhimisha Zanzibar Katika Ukumbi wa Watu Wenye Ulemavu Welesi
link : Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani Laadhimisha Zanzibar Katika Ukumbi wa Watu Wenye Ulemavu Welesi
Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani Laadhimisha Zanzibar Katika Ukumbi wa Watu Wenye Ulemavu Welesi
Mwanaharakati Zanzibar Bi.Asha Aboud akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani,yakiadhimishwa leo Zanzibar Katika Ukumbi wa Umoja wa Watu Wenye Ulemavu Welesi Zanzibar,imewashirikisha Wadau na Azaki Kiraia Zanzibar. Yalioandaliwa na TAMWA Zanzibar,Juwauza,Zgc,Actionaid Kwa Ufadhili wa DANIDA.
Mwanaharakati Bi. Salma Sadat akitowa Mada kuhusiana na Mtoto Mwenye Ulemavu kukosa haki zake za msingi.
Hivyo makala Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani Laadhimisha Zanzibar Katika Ukumbi wa Watu Wenye Ulemavu Welesi
yaani makala yote Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani Laadhimisha Zanzibar Katika Ukumbi wa Watu Wenye Ulemavu Welesi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani Laadhimisha Zanzibar Katika Ukumbi wa Watu Wenye Ulemavu Welesi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/kongamano-la-maadhimisho-ya-siku-ya.html
0 Response to "Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani Laadhimisha Zanzibar Katika Ukumbi wa Watu Wenye Ulemavu Welesi"
Post a Comment