Loading...
title : DC ILALA agiza mhandisi wa Manispaa Ilala akamatwe
link : DC ILALA agiza mhandisi wa Manispaa Ilala akamatwe
DC ILALA agiza mhandisi wa Manispaa Ilala akamatwe
Mwambawahabari
MKUU wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema ameagiza Jeshi la polisi kumkamata MHANDISI wa MANISPAA ya Ilala kwa kudaiwa kutoa kibari cha ujenzi wa Ukumbi wa Sinema katika eneo lillilotengwa kwa soko.
Sophia Mjema alitoa agizo hilo leo katika ziara ya kushukiza alipokwenda kutuliza ghasia eneo la LIWITI.
"Eneo hili mali ya Serikali limetengwa kwa ajili ya soko naagiza jeshi LA Polisi mumkamate Leo awe amefika kituo cha Polisi Kati kwa kukiuka agizo la Ofisi ya MKUU wa WILAYA ILALA"alisema Mjema.
Mjema alisema eneo hilo la serikali manispaa wametenga kwa ajili ya soko awezi kuruhusu kutumika kwa kumbi za Sinema wamemtaka mwekezaji ambaye anataka eneo hilo kuliacha mara moja.
Alisema atafatilia makabrasha ya mfanyabiashara huyo kujua uhalali wa eneo hilo alafu serikali itafanya maamuzi ya kumtafutie eneo lingine LIWITI litabaki Mali ya wananchi kwa ajili ya huduma za Jamii ..
"Mimi kama MKUU wa wilaya Sophia Mjema siwezi kutoa kibali eneo la Soko kujenga Ukumbi wa Sinema na wafanyabiashara walioweka baa katika eneo hilo sio sehemu yake nitafatilia na nitaakikisha nao wanaondoka "alisema.
Alisema nitamshauri Waziri wa Radhia eneo hilo libaki kuwa la wananchi na MTENDAJI wa MANISPAA ya Ilala ambaye atakiuka agizo atamchukulia hatua .
Alisema mtu aliyenunua eneo hilo pesa zake zimepotea bure sheria zitafuatwa..
Kwa upande wake Mwekezaji aliyotaka kujenga ukumbi wa sinema Peter Mtema alisema ametii agizo LA Mkuu wa WILAYA ILALA SOPHIA MJEMA anasubiri maelekezo.
Hivyo makala DC ILALA agiza mhandisi wa Manispaa Ilala akamatwe
yaani makala yote DC ILALA agiza mhandisi wa Manispaa Ilala akamatwe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC ILALA agiza mhandisi wa Manispaa Ilala akamatwe mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/dc-ilala-agiza-mhandisi-wa-manispaa.html
0 Response to "DC ILALA agiza mhandisi wa Manispaa Ilala akamatwe"
Post a Comment