Loading...

MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM
link : MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM


PMO_5761
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja kati ya mitambo ya kwanza ya Mpiga  Chapa wa Serikali uitwao  Original Heidelberg wakati alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Dar es salaam Juni 8, 2018. Mtambo huo wenye zaidi ya miaka 100 bado unafanya kazi vizuri.
PMO_5776
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo  kutoka kwa Bw. Mohammed  S. Mohammed (kulia) ambaye ni Mtalaam na mwendeshaji  mkongwe wa mitambo ya uchapaji kuhusu jarada lililochapwa na mtambo uitwao Original Heidelberg wenye umri wa zaidi ya miaka 100 wakati alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018
PMO_5823
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipata maelezo kuhusu mtambo unaochapa majarada ya serikali kutoka kwa Kaimu Mpiga Chapa wa Serikali, Bw. John Kaswalala (kushoto) wakati alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Der es salaam, Juni 8, 2018. Mtambo huo wenye zaidi ya miaka 100 bado unafanya kazi vizuri . Kulia ni mwendeshaji wa mtambo huo, Dismas Shayo.
PMO_5863
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   akikagua moja ya karatasi zenye nembo na maadishi yasioonekana kwa macho ya kawaida  kwenye  Kitengo cha Digitali wakati  alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018.  Katikati ni Kaimu Mpiga Chapa wa Serikali, John Kaswalala na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Digitali, Ali Machupa.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/majaliwa-atembelea-ofisi-za-mpiga-chapa_9.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...