Loading...
title : Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo
link : Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo
Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott usiku huu tayari kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott usiku huu tayari kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo
yaani makala yote Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/makamu-wa-rais-awasili-mauritania-na_30.html
0 Response to "Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo"
Post a Comment