Loading...

Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) kuweka vipimo viwanja vya ndege

Loading...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) kuweka vipimo viwanja vya ndege - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) kuweka vipimo viwanja vya ndege, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) kuweka vipimo viwanja vya ndege
link : Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) kuweka vipimo viwanja vya ndege

soma pia


Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) kuweka vipimo viwanja vya ndege

Na Agness Francis,Globu ya Jamii.
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) wametia saini na wizara ya afya kutekeleza mpango wa kuzuia magonjwa ya kuambukizwa kupitia viwanja vya ndege. Mpango huo ni endelevu ulioanzishwa na shirika la ndege la kimataifa la usafiri wa anga duniani.

Ambapo kama wanachama wa shirika hilo ambao ni wadhibiti wa mamlaka ya afya nchini wanajukumu la kuchukua mpango huo na kuuandaa kwa kushirikiana na wizara ya afya pamoja na wadau mbalimbali wizara nyingine mbalimbali.

Akizungumza na vyombo vya habari leo katika ofisi zao Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza Johari amesema kuwa dhumuni ni kuhakikisha uboreshaji ili kujihakikishia Tanzania inapambana na magonjwa ya maambukizi yanayotokana na usafiri huo wa anga kwa njia ya muingiliano wa watu kutoka sehemu mbalimbali,  ukizingatia nchi jirani ya Jamuhuri Kidemokrasia ya Congo mlipuko wa ungojwa wa ebola umeshaua watu takribani 15.

Johari amesema pia ni utaratibu huo utawezesha watumiaji wa usafiri wa anga kusafiri kwa usalama.

Mkuu wa vituo vya afya wiwanja vya ndege, bandari na mipaka Remidius Kakulu amesema kuwa mpango huo ukianza utekelezaji wake itasaidia kupambana na maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kama ebola.

"Katika viwanja  vyetu vyote vya ndege tumefunga vipimo vya kupima joto ambapo abiria  wote wanaoingia nchini watapimwa,kwa atakaeonekena na joto kali atawekwa pembeni kwa ajili ya uchunguzi zaidi"amesema Kakulu.

Aidha kaimu mkurugenzi wa udhibiti wa kiuchumi na biashara mamlaka ya  usafiri wa anga Tanzania Daniel Malanga amesema kuwa usafiri huo ambao wa haraka kuliko yote ndio unaoweza kusambaza magongwa kwa kasi zaidi kwa kutumia mpango huo muhimu kwa kushirikiana na wadau wengi wa viwanja vya ndege mbalimbali hapa nchin utasaidia kuzuia maambukizi hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza Johari akitia saini leo ikiwa ni makubaliano ya kutekeleza mpango wa kuzuia magonjwa ya mlipuko yanayoweza kuambukizwa kupitia viwanja vya ndege hapa nchini katika ofisi zao Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza Johari(katikati) pamoja na Kaimu mkurugenzi wa udhibiti wa kiuchumi na biashara wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Daniel Malanga kushoto mara baada ya zoezi la utiaji sani kumalizika leo Jijini Dar ea Salaam.
Picha ya pamoja wadau mbali mbali mara baada ya zoezi la uwekaji wa saini kumalizika leo jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) kuweka vipimo viwanja vya ndege

yaani makala yote Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) kuweka vipimo viwanja vya ndege Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) kuweka vipimo viwanja vya ndege mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/mamlaka-ya-usafiri-wa-angatcaa-kuweka.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) kuweka vipimo viwanja vya ndege"

Post a Comment

Loading...