Loading...
title : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
link : MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo Mary Mwanjelwa, Bungeni jijini Dodoma Juni 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika, Stephen Masele ambaye ni Mbunge wa Shinyanga Mjini, Bungeni jijini Dodoma Juni 12, 2018.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba, akizungumza Bungeni jijini Dodoma Juni 12, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Mbunge wa Katavi, Inj. Gerson Lwenge Bungeni jijini Dodoma Juni 12, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Kilindi, Omari Kigua kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 12, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanafunzi Isack Chidodolo wa shule Chinangali Sekondari Dodoma, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 12, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa Moshi vijijini,Anthony Komu, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 12, 2018, katikati ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Kasulu mjini, Daniel Nsanzugwanko, nje ya jengo la utawala Bungeni jijini Dodoma Juni 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/matukio-mbalimbali-ya-waziri-mkuu-leo_12.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA"
Post a Comment