Loading...
title : RAIA 19 WA CHINA, WATANZANIA SITA KORTINI KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
link : RAIA 19 WA CHINA, WATANZANIA SITA KORTINI KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
RAIA 19 WA CHINA, WATANZANIA SITA KORTINI KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
RAIA 19 wa China na watanzania sita, wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka ya uhujumu uchumi.
Washtakiwa hao wanashtakiwa chini ya vifungu vya sheria ya uhamiaji, chini ya sheria ya watu ambao siyo raia wa Tanzania na uhujumu uchumi.
Mbele ya Hakimu Mkazi Huruma Shaidi washtakiwa hao walitajwa kuwa ni, Bo Song, Liu Yunley, Chen Chao Hui, Fu Zeng, Wu Hai Quing, Ke Qiu Fang na Frederick Kumalija.
Wengine Jing Jing Lin, Ku Liao, Yan Yan Geng, Chen Ying Gong, Salim Mahsein Al-Amry, George Elikana, Fatuma Songoro, Bhoke Mwita, Kelvin Ponela, Chen Gwandi, Lin Ben, Rui Guo, Lin Xiangqui, Chen Fa, Wan Li, Robert Mkini na Revocatus Mugisha.
Akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali Patrick Mwita akisaidiana na Shedrack Kimaro alidai, kati ya Juni 1 mwaka 2017 na Mei 18 mwaka 2018 walitenda kosa la kwanza, ambapo wanadaiwa siku hiyo, chini ya sheria ya watu ambao siyo raia wa Tanzania, walitoa taarifa za uongo kwa lengo la kupata kibali cha kufanya kazi nchini.
Hivyo makala RAIA 19 WA CHINA, WATANZANIA SITA KORTINI KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
yaani makala yote RAIA 19 WA CHINA, WATANZANIA SITA KORTINI KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIA 19 WA CHINA, WATANZANIA SITA KORTINI KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/raia-19-wa-china-watanzania-sita.html
0 Response to "RAIA 19 WA CHINA, WATANZANIA SITA KORTINI KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI"
Post a Comment