Loading...

MEYA MSTAAFU KINONDONI AISHAURI JAMII KUDUMISHA AMANI, UPENDO

Loading...
MEYA MSTAAFU KINONDONI AISHAURI JAMII KUDUMISHA AMANI, UPENDO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA MSTAAFU KINONDONI AISHAURI JAMII KUDUMISHA AMANI, UPENDO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA MSTAAFU KINONDONI AISHAURI JAMII KUDUMISHA AMANI, UPENDO
link : MEYA MSTAAFU KINONDONI AISHAURI JAMII KUDUMISHA AMANI, UPENDO

soma pia


MEYA MSTAAFU KINONDONI AISHAURI JAMII KUDUMISHA AMANI, UPENDO

MEYA Mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Yusuph Mwenda ameishauri jamii kuendelea kudumisha amani na upendo hasa kipindi hiki ambacho Taifa linapopiga hatua za kimaendeleo chini ya Uongozi wa Rais Dk.John Magufuli.

Mwenda aliyasema hayo jijini Dar es Salaam baada ya kuandaa Chakula maalumu kwa ajili ya watoto wanaoishi katika Mazingira magumu wanaolelewa katika Kituo cha Malaika.Amesema katika kipindi hiki ambacho Tanzania inaendelea 'kujengwa' kiuchumi kupitia miradi mbalimbali ya kimaendeleo, kuna kila sababu kwa wananchi wote kudumisha amani iliyopo nchini, kama hatua ya kuungana mkono maendeleo hayo.

Amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano, Taifa limeshuhudia likitekeleza miradi mikubwa ya kimaendeleo.Ametaja baadhi ya miradi hiyo ni ujenzi wa Reli ya Kisasa(Standard Gauge),Bwawa la kuzalisha umeme la Mto Rufiji(Stiggler's George) na kuiunganisha mikoa mbalimbali kwa barabara za lami.

"Sote tunashuhudia namna ambavyo Taifa letu linazidi kupiga hatua kuelekea mikakati ya Serikali ya ujenzi wa uchumi wa viwanda ifikapo 2025."Ambayo kimsingi kama watanzania tunapaswa kuipongeza,lakini ili hayo yafanyike kwa ufasaha tunapaswa kwanza kudumisha amani yetu tuliyonayo,"amesema Mwenda.


Aidha Mwenda ameiomba jamii kuwa na upendo kwa watoto wadogo hasa yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu ili kujiona kuwa sehemu ya familia zingine ambazo hazipo katika maisha wanayoyapitia.Amesema watoto hao ambao wengi wao wamepoteza wazazi wao wana kila sababu ya kuoneshwa upendo ili kuwajenga kisaikolojia wakati wote wanapokuwa katika maeneo wanayoelelewa.

"Hiyo itasaidia kuwapa nguvu ya kuwafikisha katika malengo yao mbalimbali ya kimaisha.Tuwapende ili wajione na wao ni sehemu ya jamii kama ilivyo kwa watoto wengine,"amesema.


Hivyo makala MEYA MSTAAFU KINONDONI AISHAURI JAMII KUDUMISHA AMANI, UPENDO

yaani makala yote MEYA MSTAAFU KINONDONI AISHAURI JAMII KUDUMISHA AMANI, UPENDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA MSTAAFU KINONDONI AISHAURI JAMII KUDUMISHA AMANI, UPENDO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/meya-mstaafu-kinondoni-aishauri-jamii.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MEYA MSTAAFU KINONDONI AISHAURI JAMII KUDUMISHA AMANI, UPENDO"

Post a Comment

Loading...