Loading...

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI - JIJINI DODOMA

Loading...
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI - JIJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI - JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI - JIJINI DODOMA
link : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI - JIJINI DODOMA

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI - JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizinduaTaarifa ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ya Mei 2017 Mpaka Mei 2018  baada  ya kufungua Kongamano la Tatu la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililofanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dodoma Juni 18, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dkt. John Jingu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha Taarifa ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ya Mei 2017 Mpaka Mei 2018  baada  ya kuizindua  katika Kongamano la Tatu la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililofanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dodoma Juni 18, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dkt. John Jingu.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mhandisi, Salome Kabunda  kutoka TANROADS  Tuzo ya Uwezeshaji Kiuchumi, baada ya TANROADS kuibuka mshindi wa kwanza katika kundi la Wizara, Wakala na Idara za Serikali kwenye  Kongamano la Tatu la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililofunguliwa na Waziri Mkuu katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma Juni 18, 2018. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dkt. John Jingu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na baadhi ya viongozi walioshiriki katika Ufunguzi wa Kongamano la Tatu la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi wakipiga makaofi baada ya Waziri Mkuu kufungua Kongamano hilo kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dodoma Juni 18, 2018. kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Profesa, Faustine Kamuzora, Meya wa jiji la Dodoma,Profesa Davis Mwamfupe, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dkt. John Jingu, Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng'i Issa. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mku, Sera, Bunge, Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama  (katikati) Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mku, Profesa Faustine Kamuzora baada ya kufungua Kongamano la Tatu la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililofanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dodoma Juni 18, 2018.



Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI - JIJINI DODOMA

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI - JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI - JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-afungua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI - JIJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...