Loading...

Mhe Mohammed Raza Atangaza Nia Kugombea Nafasi za Mwenyekiti wa ZFA Zanzibar

Loading...
Mhe Mohammed Raza Atangaza Nia Kugombea Nafasi za Mwenyekiti wa ZFA Zanzibar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mhe Mohammed Raza Atangaza Nia Kugombea Nafasi za Mwenyekiti wa ZFA Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mhe Mohammed Raza Atangaza Nia Kugombea Nafasi za Mwenyekiti wa ZFA Zanzibar
link : Mhe Mohammed Raza Atangaza Nia Kugombea Nafasi za Mwenyekiti wa ZFA Zanzibar

soma pia


Mhe Mohammed Raza Atangaza Nia Kugombea Nafasi za Mwenyekiti wa ZFA Zanzibar

Mwakilishi wa jimbo la Uzini Mohammedraza Hassanal ametangaza nia ya kugombea Urais wa Chama cha Soka Visiwani Zanzibar (ZFA) kwa ajili ya kuliteka maendeleo ya mchezo huo.  

Raza ameyasema hayo wakati akizungumza na wandishi wa habari za michezo katika hafla maalum iliyofanyika katika ukumbi wa hotel ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.

Mwanamichezo huyo ambae aliwahi kuwa mshauri wa masuala ya michezo kwa Rais wa awamu ya tano Dk Salmin Amour, amesema nia hiyo imekuja baada ya kuona soka la Zanzibar kuanguka, hivyo ameona ipo haja kutangaza nia ili kuja kulikomboa.

Amesema atahakikisha anaukuza mchezo huo kwani atashirikiana ipasavyo na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo inaonekana ipo mstari wa mbele kwenye michezo.

ZFA watalazimika kufanya uchaguzi kufuatia viongozi wake wakuu kuamua kujiuzulu akiwemo aliyekuwa Rais Ravia Idarous Faina, Makamo Urais ZFA Pemba Ali Mohammed Ali na Makamo Urais ZFA Unguja Mzee Zam Ali hivyo nafasi hizo mpaka sasa zipo tupu huku ikisubiriwa kamati ya Uchaguzi kutangaza tarehe za kuanza harakati za kufanyika uchaguzi huo.



Hivyo makala Mhe Mohammed Raza Atangaza Nia Kugombea Nafasi za Mwenyekiti wa ZFA Zanzibar

yaani makala yote Mhe Mohammed Raza Atangaza Nia Kugombea Nafasi za Mwenyekiti wa ZFA Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mhe Mohammed Raza Atangaza Nia Kugombea Nafasi za Mwenyekiti wa ZFA Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/mhe-mohammed-raza-atangaza-nia-kugombea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mhe Mohammed Raza Atangaza Nia Kugombea Nafasi za Mwenyekiti wa ZFA Zanzibar"

Post a Comment

Loading...