Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AMUAGA MGENI WAKE RAIS EMMERSON MNANGAGWA WA ZIMBABWE LEO
link : RAIS DKT MAGUFULI AMUAGA MGENI WAKE RAIS EMMERSON MNANGAGWA WA ZIMBABWE LEO
RAIS DKT MAGUFULI AMUAGA MGENI WAKE RAIS EMMERSON MNANGAGWA WA ZIMBABWE LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kiongozi huyo kuondoka kurejea nchini kwake leo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe alipokuwa akimtambulisha kwa baadhi wa wajumbe alioambatana nao.
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dkt. Raymond Mndolwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa CCM mkowa wa Dar es salaam katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AMUAGA MGENI WAKE RAIS EMMERSON MNANGAGWA WA ZIMBABWE LEO
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AMUAGA MGENI WAKE RAIS EMMERSON MNANGAGWA WA ZIMBABWE LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AMUAGA MGENI WAKE RAIS EMMERSON MNANGAGWA WA ZIMBABWE LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/rais-dkt-magufuli-amuaga-mgeni-wake.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AMUAGA MGENI WAKE RAIS EMMERSON MNANGAGWA WA ZIMBABWE LEO"
Post a Comment