Loading...
title : RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA
link : RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA
RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akiwa ana swali kabla ya Iftar iliyoandaliwa na Taasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Mmoja ya Wadau kutoka Taasisi ya K Innovates Nasra Kaseja akizungumza kuhus umuhimu wa kuwasaidia watoto yatima wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Taasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima, Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Mshehereheshaji wakati wa Iftar,Masoud Kipanya akizungumza kuhusu utaratibu na umuhimu wa kufutirisha makundi ya watu maalum katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akipakuwa chakula wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Taasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Wadau wa Tasisi ya Ko Innoavate Pink Ijab wakiwa katika picha kabla ya Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete katikati akiwa na Wadau waliotoa Vifaa kwa ajili ya Watoto Yatima wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Baadi ya wadau waliofika katika Iftar iliyofanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Hivyo makala RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA
yaani makala yote RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/ridhiwani-apata-futari-na-vituo-vitano_11.html
0 Response to "RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA"
Post a Comment