Loading...
title : SEKRETALIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA YAWATAKA VIONGOZI KUKAAMKAO WA KUHAKIKIWA MALIZAO.
link : SEKRETALIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA YAWATAKA VIONGOZI KUKAAMKAO WA KUHAKIKIWA MALIZAO.
SEKRETALIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA YAWATAKA VIONGOZI KUKAAMKAO WA KUHAKIKIWA MALIZAO.
Mwambawahabari
Na. John Luhende
Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma imesema Juni 18/2018,itaanza uhakiki wa Mali za za viongozi kwa mujibu wa sheria
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamishna wa Sekretarieti hiyo Jaji mstaafu Harold Nsekela, amesema kwa viongozi kurudisha matamko yao si mwisho wa kazi ya tume hiyo kwa kuwa waosi Makumbusho, Kazi nyingine ni Kuya chambua matamko hayo kuhusu madeni na malizao ili kujua kama maswali yamejibiwa vizuri matamko zaidi ya 16,000 yamechambuliwa.
Zoezi la tatu ni kuhakikisha kama kuna matatizo muhusika anaitwa na kwenda kwa uhakiki wa hizo malizake , kwasasa umefika wakati wa kwenda kuwahakiki 946 ndiyo wa naenda kuhakikiwa
Amesema dhurumika la zoezi hilo ni kutafuta thamani na uhalali wa hizo mali ili kuendana na maadili, kujua kama zimepatika kihalali ama la na zoezi litaanza 18 Juni na litaendeshwa hadi Julai 18/2018.
Ameonya vishoka wasije kuingilia zoezi na kazi hii itafanywa na Viongozi wa Tume hiyo, na viongozi wanaoenda kuhakikiwa wamesha anza kuandikiwa barua ili wajitayarishe.
Amesema katika zoezi hilo utatakiwa ushahidi wa namna mali hizo zilivyopatikana iwe nyumba Magari ama Mashamba nyaraka na hati za ushahidi zitahitajika kwa hiyo viongozi wajiandae kutuonesha ili kazi yetu iwe rahisi"alisema
Amefafanua kuwa zoezi hili hali fanyika ili kuwa tuhuma viongozi bali ni kwa mujibu wa sheria ambayo in awataka kutekeleza hayo.
Amewaomba wale ambao hawajarejesha nyaraka kupeleka nyaraka hizo katika Tume ya Maadili ili kuepuka usumbufu katika uhakiki kwakuwa mwanzo hawa kuombwa nyaraka hizo wa sidhani kuwa wameachwa bali wazipeleke .
17mwezi wa 12 aliitisha mkutano kuhusu matamko ya viongozi a nashukuru baada ya taarifa hiyo viongozi wengi walirudisha matamko yao.
Hivyo makala SEKRETALIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA YAWATAKA VIONGOZI KUKAAMKAO WA KUHAKIKIWA MALIZAO.
yaani makala yote SEKRETALIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA YAWATAKA VIONGOZI KUKAAMKAO WA KUHAKIKIWA MALIZAO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SEKRETALIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA YAWATAKA VIONGOZI KUKAAMKAO WA KUHAKIKIWA MALIZAO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/sekretalieti-ya-maadili-ya-viongozi-wa.html
0 Response to "SEKRETALIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA YAWATAKA VIONGOZI KUKAAMKAO WA KUHAKIKIWA MALIZAO."
Post a Comment