Loading...

SUALA LA ULINZI WA SIRI WA SPARK 2 NA UMUHIMU KWA WATANZANIA.

Loading...
SUALA LA ULINZI WA SIRI WA SPARK 2 NA UMUHIMU KWA WATANZANIA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SUALA LA ULINZI WA SIRI WA SPARK 2 NA UMUHIMU KWA WATANZANIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SUALA LA ULINZI WA SIRI WA SPARK 2 NA UMUHIMU KWA WATANZANIA.
link : SUALA LA ULINZI WA SIRI WA SPARK 2 NA UMUHIMU KWA WATANZANIA.

soma pia


SUALA LA ULINZI WA SIRI WA SPARK 2 NA UMUHIMU KWA WATANZANIA.

SUALA la ulinzi wa siri kwa watumiaji simu janja imekua ni tatizo hasa kwa watanzania kutokana aina nyingi za security kuzoeleka na kumfanya mtumiaji siri zake kuvuja pindi simu inapoibiwa au kuwa mikononi mwa mtu asiyemuaminifu.
Na kutokana na hali hii kutowapendeza watanzania wengi hivi karibuni tumeona kampuni ya simu ya TECNO kuzalisha simu zenye mfumo mpya wa teknolojia ya security ambayo ni face id na huonekana kutumika kwenye toleo la ‘TECNO CAMON’ zilizotoka hivi karibuni. 

Lakini pia kutokana na habari zilizopo mitandaoni kwa sasa ni kwamba TECNO kuja na TECNO spark 2 kivyengine ikiwa na fingerprint pamoja na face id teknoloji ambayo ufanyaji wake kazi ni tofauti na ule wa fingerprint uliotumika katika spark za awali. Endapo kinachonekana kwenye kurasa ya tecnomobile kikawa na ukweli basi watanzania wengi watakua wamekwamuka katika tatizo hili.

Inaonekana pia madaliko hayapo tu katika upande wa security lakini pia muonekano mzima wa simu mpya za TECNO zimekuwa na wigo mpana wa kioo tofauti na spark za awali nadhani teknolojia hii mpya ni ya kuitegemaea katika TECNO spark 2 hasa ukizingatia huu ni msimu wa kombe la dunia ni wakati wako kuangalia mpira ukiwa mahala popote kupitia TECNO spark 2 
Na hivi karibu katika uzinduzi wa TECNO CAMON X na X pro nchini Nigeria kampuni ya simu ya TECNO iliweka wazi makubaliano walionayo na GOOGLE kuhusiana na simu za TECNO kuja na Android GO inayoaminika katika ufanisi wa kazi kwa haraka zaidi na utunzaji wa chaji tofauti na Android 7.0 Nougat uliotumika kwenye simu za spark.


Hivyo makala SUALA LA ULINZI WA SIRI WA SPARK 2 NA UMUHIMU KWA WATANZANIA.

yaani makala yote SUALA LA ULINZI WA SIRI WA SPARK 2 NA UMUHIMU KWA WATANZANIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SUALA LA ULINZI WA SIRI WA SPARK 2 NA UMUHIMU KWA WATANZANIA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/suala-la-ulinzi-wa-siri-wa-spark-2-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SUALA LA ULINZI WA SIRI WA SPARK 2 NA UMUHIMU KWA WATANZANIA."

Post a Comment

Loading...