Loading...

TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY

Loading...
TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY
link : TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY

soma pia


TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY

  
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeihakikishia Serikali ya Norway kuwa inaendelea kuelekeza nguvu zake kwenye kuweka mikakati sahihi ya kuvutia uwekezaji kutoka nje ya nchi, ikiwemo nchi ya Norway, ili kuleta maendeleo kwa wananchi wa Tanzania.

Hayo yamesemwa na Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania alipokutana na Bw. Jon Lamoy, Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Norway lijulikanalo kwa kifupi kama NORAD mwanzoni mwa ziara yake ya kikazi ya siku tatu Mjini Oslo, makao makuu ya Norway.

Katika mazungumzo yao, Mkurugenzi Lamoy alimueleza Waziri Mahiga kuwa shirika hilo limekuwa na uhusiano wa karibu na wa kindugu kwa zaidi ya miongo mitano na nchi ya Tanzania. Yeye binafsi na washirika wengi wa Tanzania nchini humo wanasifu utendaji kazi wa Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli hususan kwenye mapambano dhidi ya rushwa. 

Rushwa inarudisha nyuma maendeleo kwa kuikosesha nchi mapato, hivyo jitihada za Tanzania za kupambana na rushwa, hususan kwenye ukusanyaji kodi, zitawawezesha wananchi wa Tanzania kunufaika na huduma za kijamii na hatimaye kupata maendeleo kwa haraka.

Hata hivyo mkurugenzi huyo alitoa angalizo kuwa nia nzuri ya Serikali ya Tanzania ya kuweka mifumo thabiti ya uwekezaji wenye faida  ukiwemo ule wa sekta ya madini, ni muhimu ikakamilika mapema ili kutoa fursa kwa wawekezaji wapya kuwekeza kwenye sekta hiyo kwa wakati.

Kwa upande wake, Mheshimiwa Mahiga alielezea kuwa suala hilo tayari linafanyiwa kazi ambapo pamoja na Serikali kuweka mazingira rafiki  kwa wawekezaji, uwekezaji huo ni lazima uwe na faida kwa Watanzania na kwa maendeleo ya nchi.



Hivyo makala TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY

yaani makala yote TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/taarifa-ya-ziara-ya-waziri-mahiga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY"

Post a Comment

Loading...