Loading...

WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA JIJINI DODOMA.

Loading...
WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA JIJINI DODOMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA JIJINI DODOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA JIJINI DODOMA.
link : WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA JIJINI DODOMA.

soma pia


WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA JIJINI DODOMA.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipeana Mkono na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana mara baada ya kumkabidhi zawadi mbalimbali alizotoa kwa niaba ya Kamati ya Wabunge wa CCM katika hafla iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga  na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma  jana.
 Meza kuu
Wajumbe wa Sekretariet ya CCM wakiimba wimbo alipowasili Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Ndg Abdulrahman Kinana katika hafla iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga  na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma jana .
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Kmati ya Wabunge wa CCM Mhe Majaliwa Kassim akimkabidhi zawadi mbalimbali Katibu Mkuu wa CCM  kwa niaba ya Kamati ya Wabunge wa CCM katika hafla iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga Ndg Abdulrahman Kinana   na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma jana.

Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Abdurahmani Kinana akiteta jambo na Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally.
 Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wabunge katika hafla aliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga  na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma jana.
 Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally akizungumza na wabunge katika hafla ya kumuaga Katibu Mkuu Mstafu Abdulrahman Kinana iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga  na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma  jana.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya wabungea wa CCM akizungumza  katika hafla ya kumuaga Katibu Mkuu Mstafu Abdulrahman Kinana   na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma  jana.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wabunge katika hafla aliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga  na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma jana .
 Sehemu ya wabunge wakifuatilia Hafla hiyo.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA JIJINI DODOMA.

yaani makala yote WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA JIJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA JIJINI DODOMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/wabunge-wa-ccm-wamuaga-kinana-jijini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA JIJINI DODOMA."

Post a Comment

Loading...