WAKINA MAMA 925,342 NCHINI WASAJILIWA NA MRADI WA TUMAINI LA MAMA - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKINA MAMA 925,342 NCHINI WASAJILIWA NA MRADI WA TUMAINI LA MAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
WAKINA MAMA 925,342 NCHINI WASAJILIWA NA MRADI WA TUMAINI LA MAMAlink :
WAKINA MAMA 925,342 NCHINI WASAJILIWA NA MRADI WA TUMAINI LA MAMA
WAKINA MAMA 925,342 NCHINI WASAJILIWA NA MRADI WA TUMAINI LA MAMA
Kaimu Mkurugenzi wa Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mbaruku Mgawa akizungumza wakati wa kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa mradi wa “Tumaini la mama kwa viongozi na watendaji mkoani Tanga kilichofanyika mjini Korogwe katikati ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu
MKUU wa mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza wakati akifungua kikao hicho kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mbaruku Mgawa na Meneja wa Mfuko huo mkoani Tanga Ally Mwakababu
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella akifuatiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mbaruku Mgawa
KAIMU Mkuu wa wilaya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Mganga Mkuu wa mkoa wa Tanga Dkt Asha Mahita
Meza kuu wakifuatilia hoja mbalimbali za wajumbe kwenye kikao hicho
Wajumbe wa kikao hicho wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella wa kwanza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mkinga Mark Yona,Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa,Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo na Mganga Mkuu wa Jiji la Tanga (CMO)Jairy Khanga
Hivyo makala WAKINA MAMA 925,342 NCHINI WASAJILIWA NA MRADI WA TUMAINI LA MAMA
yaani makala yote WAKINA MAMA 925,342 NCHINI WASAJILIWA NA MRADI WA TUMAINI LA MAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKINA MAMA 925,342 NCHINI WASAJILIWA NA MRADI WA TUMAINI LA MAMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/wakina-mama-925342-nchini-wasajiliwa-na.html
0 Response to "WAKINA MAMA 925,342 NCHINI WASAJILIWA NA MRADI WA TUMAINI LA MAMA"
Post a Comment