Loading...
title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MADINI NA KUZINDUA MAABARA YA KISASA YA MADINI
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MADINI NA KUZINDUA MAABARA YA KISASA YA MADINI
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MADINI NA KUZINDUA MAABARA YA KISASA YA MADINI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa 38 wa Mawaziri wa Madini kutoka nchi wananchama wa Ukanda wa Maziwa Makuu kwenye Kituo cha Utafiti na uendelezaji wa sekta ya Madini, Kundichi jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Meneja wa Maabara ya Kemia na Mazingira wa Kituo cha Utafiti na Uendelezaji wa Sekta ya Madini, Bw. Charles Butete baada ya kuzindua maabara hiyo , kunduchi jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018. Wapili kushoto ni Waziri wa Madini, Angela Kairuki.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka nchi wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu baada ya kufungua Mkutano 38 wa Mawaziri wa Madini kutoka nchi hizo kwenye Kituo cha utafiti na uendelezaji wa sekta ya Madini, Kunduchi jijini Dar es salam, Juni 8, 2018. Watatu kulia ni Waziri wa Madini, Angela Kairuki.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua Mkutano wa 38 wa Mawaziri wa Madini kutoka nchi wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu kwenye Kituo cha utafiti na uendelezaji wa sekta ya Madini, Kunduchi jijini Dar es salam, Juni 8, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MADINI NA KUZINDUA MAABARA YA KISASA YA MADINI
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MADINI NA KUZINDUA MAABARA YA KISASA YA MADINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MADINI NA KUZINDUA MAABARA YA KISASA YA MADINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/waziri-mkuu-majaliwa-afungua-mkutano-wa.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MADINI NA KUZINDUA MAABARA YA KISASA YA MADINI"
Post a Comment