Loading...
title : YANGA RASIMI KUJIONDOA MASHINDANO YA KAGAME CUP
link : YANGA RASIMI KUJIONDOA MASHINDANO YA KAGAME CUP
YANGA RASIMI KUJIONDOA MASHINDANO YA KAGAME CUP
Uongozi wa klabu ya Yanga umeandika barua kwenda TFF kuiomba kujitoa katika mashindano ya Kagame Cup yanayotarajiwa kuanza Juni 29 mpaka Julai 13, 2018 jijini Dar es Salaam
Sababu za msingi za kujitoa Kagame Cup ni kufanya maandalizi kwa ajili ya michunao ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo watacheza na Gor Mahia FC ya Kenya, Julai 18, 2018 jijini Nairobi
Kutokana na muingiliano wa ratiba ya Kagame Cup na Michuano ya Shirikisho, Yanga imeona ni vema kuwapatia wachezaji wao mapumziko ili kuwapa fursa ya kujiandaa vizuri
Katika ratiba ya michuano hiyo ya Kagame, Simba na Yanga zimepangwa pamoja kwenye kundi C ambapo kuna timu zingine ambazo ni Dakadaha ya Somalia pamoja na St. George kutoka Ethiopia
Hivyo makala YANGA RASIMI KUJIONDOA MASHINDANO YA KAGAME CUP
yaani makala yote YANGA RASIMI KUJIONDOA MASHINDANO YA KAGAME CUP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA RASIMI KUJIONDOA MASHINDANO YA KAGAME CUP mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/yanga-rasimi-kujiondoa-mashindano-ya.html
0 Response to "YANGA RASIMI KUJIONDOA MASHINDANO YA KAGAME CUP"
Post a Comment