Loading...
title : ZIARA YA KITALII MUENDESHA PIKIPIKI KUTOKA NCHI YA OMAN
link : ZIARA YA KITALII MUENDESHA PIKIPIKI KUTOKA NCHI YA OMAN
ZIARA YA KITALII MUENDESHA PIKIPIKI KUTOKA NCHI YA OMAN
MUENDESHA Pikipiki kutoka Oman Maher Al Barwany akiingia katika Viwanja vya Wizara Ya Habari Utalii na Mambo ya Kale zilizopo Kikwajuni Mjini Zanzibar kwaajili ya ziara ya kitalii kwa kutumia pikipiki na kufanya mazungumzo na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo.
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Maher Al Barwany muendesha Pikipiki kutoka Oman alipofanya ziara ya kitalii katikati ni Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Dkt. Ahmed Hamoud Al Habsy.
MSHAURI wa Waziri Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Maalim Abdalla Mwinyi akibadilishana mawazo na Maher Al Barwany alipofanya ziara ya kitalii katikati ni Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Dkt. Ahmed Hamoud Al Habsy.
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Maher Al Barwany muendesha Pikipiki kutoka Oman katika ukumbi wa Wizara ya Habari uliopo Kikwajuni Mjini Zanzibar alipofanya ziara ya kitalii Visiwani Zanzibar, katikati ni Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Dkt. Ahmed Hamoud Al Habsy.
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akimvisha Skafu inayotangaza Utalii wa Visiwa Vya Zanzibar Maher Al Barwany muendesha Pikipiki kutoka Oman katika ukumbi wa Wizara ya Habari uliopo Kikwajuni Mjini Zanzibar alipofanya ziara ya kitalii kushoto ni Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Dkt. Ahmed Hamoud Al Habsy.
MUENDESHA Pikipiki kutoka Oman Maher Al Barwany akizungumza changamoto na mafanikio katika safari zake alizozifanya kwa kutumia usafiri wa Pikipiki kwa kutalii kulia ni Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Dkt. Ahmed Hamoud Al Habsy.
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akiendesha Pikipiki linalotumiwa na Maher Al Barwany katika safari zake za kitalii Nchi mbalimbali Duniani (Picha na Abdalla Omar Maelezo - Zanzibar).
Hivyo makala ZIARA YA KITALII MUENDESHA PIKIPIKI KUTOKA NCHI YA OMAN
yaani makala yote ZIARA YA KITALII MUENDESHA PIKIPIKI KUTOKA NCHI YA OMAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA KITALII MUENDESHA PIKIPIKI KUTOKA NCHI YA OMAN mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/ziara-ya-kitalii-muendesha-pikipiki.html
0 Response to "ZIARA YA KITALII MUENDESHA PIKIPIKI KUTOKA NCHI YA OMAN"
Post a Comment