Loading...
title : AJALI MBAYA YA BARABARANI YAUA WATU 20 MBEYA
link : AJALI MBAYA YA BARABARANI YAUA WATU 20 MBEYA
AJALI MBAYA YA BARABARANI YAUA WATU 20 MBEYA

Wananchi wakishirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama wanaendelea na jitihada za kulinasua daladala lililolaliwa na lori hilo.
Ajali hiyo imetokea mchana wa leo Julai Mosi, 2018 baada ya lori hilo kugonga daladala zilizokuwa zinatoka stendi ya Mbalizi kuelekea Mbeya mjini. Taarifa kuhusu majeruhi na vifo bado haijatolewa.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla na kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, Mussa Taibu wapo eneo la tukio.
Kazi ya uokoaji inaendelea kufanywa na vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakishirikiana na wananchi.

Hivyo makala AJALI MBAYA YA BARABARANI YAUA WATU 20 MBEYA
yaani makala yote AJALI MBAYA YA BARABARANI YAUA WATU 20 MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AJALI MBAYA YA BARABARANI YAUA WATU 20 MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/ajali-mbaya-ya-barabarani-yaua-watu-20.html
0 Response to "AJALI MBAYA YA BARABARANI YAUA WATU 20 MBEYA"
Post a Comment