Loading...

WAZIRI MWIJAGE ATEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO SABASABA.

Loading...
WAZIRI MWIJAGE ATEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO SABASABA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MWIJAGE ATEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO SABASABA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MWIJAGE ATEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO SABASABA.
link : WAZIRI MWIJAGE ATEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO SABASABA.

soma pia


WAZIRI MWIJAGE ATEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO SABASABA.



 Mwamba wa habari
Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage,akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa wateja,Elisante Maleko,kulia wakati alipo tembelea Banda la Shirika la Bima la Taifa (NIC) katika maonyesho ya 42 yanayoendelea katika viwanja vya mwalimu nyerere maarufu Sabasaba jijini Dar es Salaam Picha na Prona Mumwi
Ofisa wa Bima ya Shirika la Taifa (NIC) Honest  Valence,akimwelekeza Askari Polisi wa usalama Barabarani, Yesaya Sabilla,kushoto akijaza fomu ya Bima ya  Elimu, baada ya kutembelea (NIC) banda la Shirika la la Taifa  katika maonyesho ya 42 yanayoendelea katika viwanja vya mwalimu nyerere maarufu Sabasaba jijini Dar es Salaam Picha na Prona Mumwi

Meja mradi wa Ufugaji samaki kutoka Jeshi la Taifa JKT Sumaponics,Joseph Lyakurwa,(kulia)akitoa ufafanuzi kuhusu ufugaji wa Samaki wanao fuga na kunufaika na miradi mbalimbali wanaofanya ufugaji wa samaki, kuku, na uzalishaji wa maji yanayo fahamika kwa jina la Uhuru Peak. Katika maonyesho ya 42 yanayoendelea katika viwanja vya mwalimu nyerere maarufu Sabasaba jijini Dar es Salaam Picha na Prona Mumwi


Baadhi ya wanchi wakiangalia banda la ufugaji kuku na vitu mbalimbali vinavyofanywa na JKT wakati walipotembelea banda hilo katika maonyesho ya 42 yanayoendelea katika viwanja vya mwalimu nyerere maarufu Sabasaba jijini Dar es Salaam Picha na Prona Mumwi


Hivyo makala WAZIRI MWIJAGE ATEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO SABASABA.

yaani makala yote WAZIRI MWIJAGE ATEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO SABASABA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWIJAGE ATEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO SABASABA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/waziri-mwijage-atembelea-mabanda-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MWIJAGE ATEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO SABASABA."

Post a Comment

Loading...