Loading...

Asasi za Kiraia zaiomba Serikali kuzitengea bajeti

Loading...
Asasi za Kiraia zaiomba Serikali kuzitengea bajeti - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Asasi za Kiraia zaiomba Serikali kuzitengea bajeti, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Asasi za Kiraia zaiomba Serikali kuzitengea bajeti
link : Asasi za Kiraia zaiomba Serikali kuzitengea bajeti

soma pia


Asasi za Kiraia zaiomba Serikali kuzitengea bajeti

 Image result for picha za anna henga lhrc
Mwamba wa habari

Na. Hussein Ndubikile

Asasi za Kiraia nchini (NGOs) zimeiomba Serikali kutenga fedha kwenye bajeti za kuzisaidia kujiendesha katika kutekeleza majukumu yake ili ziondokane na kutegemea fedha kutoka kwa nchi wahisani huku zikibainisha zina mchango mkubwa wa kuiletea nchi maendeleo katika sekta mbalimbali.

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mwanasheria wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Kahale katika Warsha iliyoandaliwa na kituo hicho yenye lengo la kutoa mapendekezo yatakayosaidia kupata na kuboresha sheria zinazoongoza asasi hizo.

Amesema asasi hizo zimekuwa zikifanya kazi kwa kutegemea fedha za washirika wahisani hali inayosababisha kushindwa kufanya kazi ipasasvyo licha ya kutambulika kikatiba na kisheria.

" Serikali inatakiwa kutenga  fedha kwenye bajeti nyingi zinatemea mashirika ya nje kujiendesha hata Serikali inazitambua kisheria hivyo zinatakiwa ziwezeshwe," amesema.

Amebainisha kuwa asasi za kiraia sio adui wa Serikali kwani zinashrikiana na Serikali katika sekta za maendeleo zikiwemo za afya, elimu na miundo mbinu mingene muhimu.

Amesisitiza kuwa mapendekezo yatakayokusanywa yatawasilishwa katika Baraza Kuu  la asaszi za kiraia na kupitiwa kisha kuwa Sheria zinazoongoza utendaji wake.

Amefafanua kuwa Sera za mwaka 2001 na 2002 za asasi za kiraia zina umuhimu kufanyiwa marekebisho kutokana na kuwa changamoto kwenye nyanja ya usajili, uhuru wa kujieleza  kwa asasi zinazoshugulikia na vyombo vya habari.

Kwa upande wake mshiriki wa warsha hiyo kutoka asasi ya Babati Paralegal Centre (Bapace),Veronica Mushi amesema kuna changamoto nyingi kwenye sheria zinazoongoza asasi hizo hali inayowafanya kufanya kazi kwa ugumu na kusisitiza kuna vipengele vianhitaji kufanyiwa marekebisho.

Naye, Mshiriki kutoka Tunduma Legal Centre, John Iginga amesema warsha hiyo ina msaada mkubwa katika kuhakikisha sera zilizopo zinafanyiwa marekebisho kuendana na wakati uliopo na kwamba zilizopo kuna baadhi zina upungufu.



Hivyo makala Asasi za Kiraia zaiomba Serikali kuzitengea bajeti

yaani makala yote Asasi za Kiraia zaiomba Serikali kuzitengea bajeti Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Asasi za Kiraia zaiomba Serikali kuzitengea bajeti mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/asasi-za-kiraia-zaiomba-serikali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Asasi za Kiraia zaiomba Serikali kuzitengea bajeti"

Post a Comment

Loading...