Loading...

Azam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba fainali kagame cup

Loading...
Azam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba fainali kagame cup - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Azam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba fainali kagame cup, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Azam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba fainali kagame cup
link : Azam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba fainali kagame cup

soma pia


Azam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba fainali kagame cup

Na Agness Francis, Globu ya jamii

Azam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba katika fainali za kuwania kombe  la kagame cup (cecafa).

Timu hizo zote mbili za kutoka hapa nchini ambazo zimefanikiwa kutinga fainali zitashuka dimbani kesho majira ya saa 12 jioni kuchoshana nguvu  katika uwanja wa taifa Jijini Dar es Salaam.

Mara baada ya jana azamfc kumuondosha gor mahia ya nchini kenya  katika michuano hiyo  kwa kipigo cha  mabao 2-0, sasa wanakutana na wekundu wa msimbazi katika kumjua nani ataibuka kidedea wa kombe hilo.

Akizungumza leo jijini Dar es  salaam msemaji wa azamfc Jaffary maganga amesema  kuwa kikosi chao kimejipanga vizuri kuhakikisha wanatetea ubingwa  wao wa mwaka 2015 ambapo  michuano hiyo ilifanyika kwa mara ya mwisho hapa nchini

Jaffary amesema maandalizi waliyofanya ni mazuri na ndio maana wamefanya vema  na mpka kufikia hatua hiyo.

"Tunaiheshimu simba ni timu kongwe ya muda mrefu ilio na kikosi mahiri lakini sisi azam tunaliamini benchi letu la ufundi pamoja na mwalimu,tunaahidi kufanya vizuri  kwa kumfunga simba"amesema jaffary.

Mtanange huo utakaokuwa wa ina yake wa kiburudani kwa mashabiki ,inaonyesha zahiri kuwa soka la Tanzania limezidi kuimarika katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kati.


Hivyo makala Azam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba fainali kagame cup

yaani makala yote Azam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba fainali kagame cup Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Azam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba fainali kagame cup mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/azam-fc-yatamba-kumgaragaza-mnyama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Azam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba fainali kagame cup"

Post a Comment

Loading...