DC MJEMA , SERIKALI ITAENDELEA KUWA UNGA MKONO WAJASILIAMALI WANAWAKE. - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MJEMA , SERIKALI ITAENDELEA KUWA UNGA MKONO WAJASILIAMALI WANAWAKE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
DC MJEMA , SERIKALI ITAENDELEA KUWA UNGA MKONO WAJASILIAMALI WANAWAKE.link :
DC MJEMA , SERIKALI ITAENDELEA KUWA UNGA MKONO WAJASILIAMALI WANAWAKE.
DC MJEMA , SERIKALI ITAENDELEA KUWA UNGA MKONO WAJASILIAMALI WANAWAKE.
Mwambawahabari
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amesema Serikali itaendelea kuwa Unga mkono wanake katika shughuli zao za ujasilimali ili waweze kuanzisha viwanda vidogo vidogo na kujiongezea vipato.
Mhe. Mjema Ameyasema hayo wakati alipokuwa mgeni rasmi Kongamano la Changamka Mwanamke lililo fanyika Ilala jijini Dar es Salaam na kuongeza kuwa wanawake wanao uwezo mkubwa wa kubuni biashara lakini wameshindwa katika mitaji.
"Nimepita hapa nimekuwa Juice ya viazi lishe, sijawahi kunywa nimeona ni ubunifu wa hali ya juu naninzuri mama huyu alichoshindwa ni kuboresha vifungashio ili kuboresha biashara yake hilo nimeliona tutasaidiana" Amesema.
Amesema baadhi ya mambo ambayo yamekuwa ni changamoto ni pamoja na nembo ya Biashara, TFDA na mashine za EFD ambazo kwa sasa zina uzwa beighali.
"Hawa wote tunafanya nao kazi katika serikali hii ntawaita tutazungumza nao waweze kuona namna ya kutusaidia ili tuendelee biashara zetu nami nitawasaidia " Amesema.
Aidha amewasisitiza wanawake hao kuchangamkia fursa za mikopo inayotolewa na Manispaa ya Ilala ambayo kwaajili ya akina mama.
" Kuna mifuko 19 ya kuwezesha wananchi kiuchumi serikalini mnaweza pia kuitumia hii mifuko kufanya biashara na kuanzisha viwanda vidogo vidogo"amesema.
Kwaupande wake Mkurugenzi mwanzilishi wa Changamka Mwanamke Maria Lukas amemwomba mkuu wa Wilaya Sophia Mjema kuwasaidia wanawake hao kupata mitaji na kuwawezesha kupata mikopo ili waendeleze biashara zao.
Na kuahidi kuwa taasisi hiyo itaendelea kufanya kazi za kujitolea katika jamii na kwamba wanampango wa kuanzisha kilimo cha pilipili na kuimarisha umoja wao.
Hivyo makala DC MJEMA , SERIKALI ITAENDELEA KUWA UNGA MKONO WAJASILIAMALI WANAWAKE.
yaani makala yote DC MJEMA , SERIKALI ITAENDELEA KUWA UNGA MKONO WAJASILIAMALI WANAWAKE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA , SERIKALI ITAENDELEA KUWA UNGA MKONO WAJASILIAMALI WANAWAKE. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/dc-mjema-serikali-itaendelea-kuwa-unga.html
Related Posts :
MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA MISUNGWI, CHARLES KITWANGA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jiji… Read More...
Majaji,Mahakimu na Makadhi Zanzibar Wapata Mafunzo ya Namna ya Kushughulikia Masuala ya Fedha Haramu.
Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu Tanzania Mhe.Onesmo Makombe akitoa maelezo kwa Majaji, Mahakimu na Makadhi wa Zanzibar wanao… Read More...
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI,JANUARI 31,2019
… Read More...
WIZARA YA AFYA YATOA TAMKO KUHUSU MAUAJI YA WATOTO MKOANI NJOMBE
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inalaani na kukemea vikali vitendo vya mauaji ya watoto kumi (10) viliv… Read More...
MGUNDUZI WA MADINI YA TANZANITE MZEE NGOMA AFARIKI DUNIA
Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite, Jummane Ngoma amefariki dunia leo Jumatano Januari 30, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alik… Read More...
0 Response to "DC MJEMA , SERIKALI ITAENDELEA KUWA UNGA MKONO WAJASILIAMALI WANAWAKE."
Post a Comment