Loading...

DC TARIME AUNDA KIKOSI KAZI KUCHUNGUZA WALIOTAFUNA BIL 5/- ZA WANANCHI WA VIJIJI VITANO

Loading...
DC TARIME AUNDA KIKOSI KAZI KUCHUNGUZA WALIOTAFUNA BIL 5/- ZA WANANCHI WA VIJIJI VITANO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC TARIME AUNDA KIKOSI KAZI KUCHUNGUZA WALIOTAFUNA BIL 5/- ZA WANANCHI WA VIJIJI VITANO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC TARIME AUNDA KIKOSI KAZI KUCHUNGUZA WALIOTAFUNA BIL 5/- ZA WANANCHI WA VIJIJI VITANO
link : DC TARIME AUNDA KIKOSI KAZI KUCHUNGUZA WALIOTAFUNA BIL 5/- ZA WANANCHI WA VIJIJI VITANO

soma pia


DC TARIME AUNDA KIKOSI KAZI KUCHUNGUZA WALIOTAFUNA BIL 5/- ZA WANANCHI WA VIJIJI VITANO

Na Frankius Cleophace, Tarime 

MKUU wa Wilaya ya Tarime mkoani Mara Glorious Luoga ameunda kikosi kazi kwa ajili ya kuchunguza na kukamatwa kwa watu ambao wamehusika kutafuna fedha Sh.bilioni tano ambazo ni za wananchi wa vijiji vitano.

Amevitaja vijiji hivyo ni Kewanja, Genkuru, Kerende, Nyangoto na Nyamwaga. 

Akizungumzia fedha hizo Mkuu wa Wilaya amesema zilipaswa kuingia kwenye akaunti za vijiji kutokana na mikataba iliyokuwepo baina ya vijiji vinavyozunguka Mgodi wa Uchimbaji wa Dhahabu Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara.

Amesema lakini watu wachache wakafanya hujuma ya kujipatia fedha hizo kinyume cha sheria.Hivyo ametoa siku 14 kwa kikosi hicho kuhakikisha wote watakaotuhumiwa kutokana na sakata hilo kukamatwa mara moja huku mali zao zinazohamishika na zisizohamishika kukamatwa.

"Na wahusika wote kufikishwa mahakamani kwa ajili ya kujibu na fedha hizo lazima zirudishwe kwa ajili ya kufanya maendeleo ya wananchi."Hizi ni fedha nyingi ambazo zingeleta maendeleo ya wananchi.Nikipita wananitupia lawama kumbe fedha zipo zinaliwa na watu wachache.Siwezi kufumbia macho suala hili," Luoga.

Luoga amesema kampuni hiyo imeanza kujipatiwa fedha hizo baada ya kufoji mikataba na kusababisha kufuta mikataba ya Vijiji hivyo ya mwaka 1995 kufutwana kisha fedha hizo kuanza kulipwa na Mtu binafsi bila wananchi kunufaika .

Aidha ametoa mwito kwa jamii kuishi kwa kufuata sheria na kudaia kuwa fedha hizo zimekuwa zikitumika kuvuruga Serikali.
 Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorios Luoga akiongea na Vyomba vya habari katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime.
 Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akionyesha baadhi ya Mikataba ilikuwa ikisainiwa na kampuni ya  Keng’anyi Enterprises Limited pamoja na Mikataba ya Vijiji Vitano ukiwemo Mkataba wa Mwaka 1995.
Baadhi ya Watumishi wa serikali wakiwemo watendaji wa kata wakiwa katika kikao hicho cha Mkuu wa wilaya ya Tarime



Hivyo makala DC TARIME AUNDA KIKOSI KAZI KUCHUNGUZA WALIOTAFUNA BIL 5/- ZA WANANCHI WA VIJIJI VITANO

yaani makala yote DC TARIME AUNDA KIKOSI KAZI KUCHUNGUZA WALIOTAFUNA BIL 5/- ZA WANANCHI WA VIJIJI VITANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC TARIME AUNDA KIKOSI KAZI KUCHUNGUZA WALIOTAFUNA BIL 5/- ZA WANANCHI WA VIJIJI VITANO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/dc-tarime-aunda-kikosi-kazi-kuchunguza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC TARIME AUNDA KIKOSI KAZI KUCHUNGUZA WALIOTAFUNA BIL 5/- ZA WANANCHI WA VIJIJI VITANO"

Post a Comment

Loading...