Loading...

DKT. MWAKYEMBE AKUBALI KUKUTA NA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI, KUJADILIANA MALIPO YA TCRA

Loading...
DKT. MWAKYEMBE AKUBALI KUKUTA NA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI, KUJADILIANA MALIPO YA TCRA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. MWAKYEMBE AKUBALI KUKUTA NA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI, KUJADILIANA MALIPO YA TCRA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. MWAKYEMBE AKUBALI KUKUTA NA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI, KUJADILIANA MALIPO YA TCRA
link : DKT. MWAKYEMBE AKUBALI KUKUTA NA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI, KUJADILIANA MALIPO YA TCRA

soma pia


DKT. MWAKYEMBE AKUBALI KUKUTA NA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI, KUJADILIANA MALIPO YA TCRA


 Na Bakari Madjeshi, 
Globu ya Jamii 

 Waziri wa Habri, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (pichani) amekubali kukaa na kujadiliana na Wahusika wa utoaji huduma za Maudhui Mtandaoni kujadiliana nao kwa kina namna yakulipia huduma hizo katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). 

 Akizungumza na watoa huduma hao mapema leo jijini Dar es Salaam, Dkt. Mwakyembe amesema kuwa Kanuni za Huduma hizo Mtandaoni zimetungwa na yeye Waziri mwenye dhamana ya Habari na TCRA ni Watekelezaji wa Sheria hizo. 
 ‘Milango bado ipo wazi kuhusu kanuni lakini zinarekebishika kukibainika kuwa na utata mkubwa, na pia kanuni hizi ni za wote’, amesema Dkt. Mwakyembe.

 Waziri huyo ambaye kitaaluma ni mwandishi wa habari na mtaalamu bingwa wa mambo sheria za mitandao, amesema kuwa kanuni hizo ni mpya ambapo wamekaa Wanasheria wa Wizara na Wataalam wa Mitandao kutoka TCRA kutengeneza kanuni hizo, hata hivyo amedai kila nchi inakuja kuiga mfano kwa Tanzania. 

 ‘Kanuni hizi zimetungwa kuangalia Mazingira ya nchi kutokana na Mitandao kuwa chanzo kikubwa cha Habari’, ameeleza Dkt. Mwakyembe Amesema Serikali ya Tanzania itafurahia kusimamia Kanuni ambazo zinaeleweka pamoja na kufuatwa na kila mtu.


Hivyo makala DKT. MWAKYEMBE AKUBALI KUKUTA NA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI, KUJADILIANA MALIPO YA TCRA

yaani makala yote DKT. MWAKYEMBE AKUBALI KUKUTA NA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI, KUJADILIANA MALIPO YA TCRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. MWAKYEMBE AKUBALI KUKUTA NA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI, KUJADILIANA MALIPO YA TCRA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/dkt-mwakyembe-akubali-kukuta-na-watoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT. MWAKYEMBE AKUBALI KUKUTA NA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI, KUJADILIANA MALIPO YA TCRA"

Post a Comment

Loading...