Loading...

Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani yafana Zanzibar

Loading...
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani yafana Zanzibar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani yafana Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani yafana Zanzibar
link : Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani yafana Zanzibar

soma pia


Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani yafana Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihutubiwa wakati wa Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Vyombo vya Habari Duniani huadhimishwa kila mwaka mwezi wa mei 3, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani Zanzibar. Kushoto kwake ni  Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharini Unguja Mhe. Ayoub Mohamed  (kati) na Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Bw. Kajubi Mukajanga. na kuume kwake ni Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar Ndg Chande Omar na  Mhe. Hassan Abdulla Mitawi, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo.
Wanahabari  toka vyombo vya habari Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo. 
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Habari Tanzania ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mhe.  Hassan Abdallah Mitawi akitoa maelezo ya hafla hiyo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutowa machache na kumkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kuhutubia Kongamano hilo la kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Bw. Kajubi Mukajanga akitowa maelezo wakati wa Kongamano hilo la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, yaliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Kilimani Zanzibar. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA





Hivyo makala Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani yafana Zanzibar

yaani makala yote Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani yafana Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani yafana Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/maadhimisho-ya-siku-ya-uhuru-wa-vyombo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani yafana Zanzibar"

Post a Comment

Loading...