Loading...
title : Gari ya tatu ya M-Pesa yakabidhiwa Arusha, bado magari saba
link : Gari ya tatu ya M-Pesa yakabidhiwa Arusha, bado magari saba
Gari ya tatu ya M-Pesa yakabidhiwa Arusha, bado magari saba
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega (katikati) akimkabidhi funguo za gari mshindi wa tatu wa gari aina ya Renault Kwid Mkomeni Ernest Mgonho (kulia) katika hafla ya kuwazawadia washindi wa M-Pesa kanda ya kaskazini baada ya kujishindia gari hilo katika bahati nasibu inayoendelea ya ‘Tumia M-Pesa ushinde gari’, kushoto ni mkuu wa Vodacom kanda ya Kaskazini Bigita Stephen.
Mke na mjukuu wa Bwana Mgomho wakishuhudia akikabidhiwa gari lake aina ya Renault Kwid na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega(kulia) katika hafla ya kuwazawadia washindi wa M-Pesa kanda ya kaskazini.
Picha ya pamoja
Hivyo makala Gari ya tatu ya M-Pesa yakabidhiwa Arusha, bado magari saba
yaani makala yote Gari ya tatu ya M-Pesa yakabidhiwa Arusha, bado magari saba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Gari ya tatu ya M-Pesa yakabidhiwa Arusha, bado magari saba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/gari-ya-tatu-ya-m-pesa-yakabidhiwa.html
0 Response to "Gari ya tatu ya M-Pesa yakabidhiwa Arusha, bado magari saba"
Post a Comment