Loading...
title : HALMASHAURI ZASHAURIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI
link : HALMASHAURI ZASHAURIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI
HALMASHAURI ZASHAURIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI
Na Tiganya Vincent, Tabora
HALMASHAURI ya Wilaya hapa nchini zimetakiwa kutenga maeneo kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo wadogo wa shughuli mbalimbali kwa ajili ya kuwasaidisa kukopesheka na asasi za kifedha.
Ombi limetolewa jana na Mwenyekiti wa Bodi ya Mpango wa kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA).aliyemaliza muda wake Captain Mstaafu John Chiligati wakati akiongea na uongozi wa Wilaya na ule Halmashauri ya Wilaya ya Urambo.
Alisema uongozi wa Halmashauri umekuwa ukitumia fedha nyingi zake katika kuwalipa posho Mgambo ambao wamekuwa wakifukuza wafanyabiashara wadogo wadogo wakiwakuta wamepanga biashara katika maeneo ambayo sio rasmi badala ya kutumia fedha hizo kwa ajili ya kutenga eneo ambalo watawekwa pamoja ili kuendesha shughuli zao.
“Nawaomba Halmashauri tengeni maeneo ambayo mtawapanga wafanyabiashara kulingana na shughuli zao …kama ni mvua nguo mtaweka sehemu Fulani…kama anauza viatu atakuwa eneo lake ili kuwafanya watu wa Benki iwe kwao rahisi kuwakopesha…benki haziwezi kukopesha mtu anayetembeza bidhaa”alisema.
Mkuu wa Wilaya ya Urambo Angelina Kwingwa akitoa salamu za Wilaya jana mara baada ya Wajumbe wa Bodi ya Mpango wa kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wa sasa na baadhi ya waliomaliza muda wao kutembelea Wilaya hiyo kwa ajili ya makabidhiano na kutembelea wanufaika.
Mratibu wa Mpango wa kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) Seraphia Mgembe akitoa ufafanua jana kwa wamefanikiwa urasimishaji wilayani Urambo wakati Wajumbe wa Bodi ya Mpango wa kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wa sasa na baadhi ya waliomaliza muda wao walipowatembelea.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mpango wa kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) aliyemaliza muda wake Captian Mstaafu John Chiligati akitoa ufafanua jana kwa wamefanikiwa urasimishaji wilayani Urambo wakati Wajumbe wa Bodi ya Mpango wa kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wa sasa na baadhi ya waliomaliza muda wao walipowatembelea.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mpango wa kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) Balozi mstaafu Daniel ole Njoolay akitoa ufafanua jana kwa wamefanikiwa urasimishaji wilayani Urambo wakati Wajumbe wa Bodi ya Mpango wa kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wa sasa na baadhi ya waliomaliza muda wao walipowatembelea. Picha na Tiganya Vincent.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala HALMASHAURI ZASHAURIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI
yaani makala yote HALMASHAURI ZASHAURIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HALMASHAURI ZASHAURIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/halmashauri-zashauriwa-kutenga-maeneo.html
0 Response to "HALMASHAURI ZASHAURIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI"
Post a Comment