Loading...
title : IGP AFANYA ZIARA KATIKA VISIWA VYA ZIWA VIKTORIA
link : IGP AFANYA ZIARA KATIKA VISIWA VYA ZIWA VIKTORIA
IGP AFANYA ZIARA KATIKA VISIWA VYA ZIWA VIKTORIA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Wakazi wa kata za Kagongo, Nyasungu na Kiriba zilizopo Visiwani Ziwa Victoria Mkoani Mara wakati wa Ziara yake ya kuhakikisha wahalifu wanaovamia wavuvi na vitendo vya wizi wa mifugo vinakomeshwa katika maeneo hayo. (Picha na Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Diwani wa Kata ya Kiriba Msendo Nyamsora wakati wa ziara ya kikazi ya IGP katika Visiwa vilivyopo Mkoani Mara kwa lengo kuhakikisha wahalifu wanaovamia wavuvi na vitendo vya wizi wa mifugo vinakomeshwa katika maeneo hayo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiagana na Wakazi wa kata za Kagongo, Nyasungu na Kiriba zilizopo Visiwani Ziwa Victoria Mkoani Mara baad ya kuzungumza nao wakati wa Ziara yake ya kuhakikisha wahalifu wanaovamia wavuvi na vitendo vya wizi wa mifugo vinakomeshwa katika maeneo hayo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Wakazi wa kata za Kagongo, Nyasungu na Kiriba zilizopo Visiwani Ziwa Victoria Mkoani Mara baad ya kuzungumza nao wakati wa Ziara yake ya kuhakikisha wahalifu wanaovamia wavuvi na vitendo vya wizi wa mifugo vinakomeshwa katika maeneo hayo. (Picha na Jeshi la Polisi)
Hivyo makala IGP AFANYA ZIARA KATIKA VISIWA VYA ZIWA VIKTORIA
yaani makala yote IGP AFANYA ZIARA KATIKA VISIWA VYA ZIWA VIKTORIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP AFANYA ZIARA KATIKA VISIWA VYA ZIWA VIKTORIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/igp-afanya-ziara-katika-visiwa-vya-ziwa.html
0 Response to "IGP AFANYA ZIARA KATIKA VISIWA VYA ZIWA VIKTORIA"
Post a Comment