Loading...
title : ILALA YAKABIDHI MWENGE WA MWENGE WA UHURU KIGAMBONI
link : ILALA YAKABIDHI MWENGE WA MWENGE WA UHURU KIGAMBONI
ILALA YAKABIDHI MWENGE WA MWENGE WA UHURU KIGAMBONI
Wilaya Ilala leo imekabidhi Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Kigamboni baada ya kutembelea na kuzindua miradi ya maendeleo ipatayo sita, yenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 4. 3.Akizungumza katika makabidhiano hayo yaliyo fanyika katika uwanja wa Shababi uliko katika kata ya Tungi, Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amemshukuru kiongozi wa mbio za Mwenge Charles Kabeho kwa kuzindua miradi hiyo na kusema kuwa Ilala imejipanga katika kusimamia fedha za selikali ili kupata thamani halisi ya fedha kulingana na mradi husika.
Hivyo makala ILALA YAKABIDHI MWENGE WA MWENGE WA UHURU KIGAMBONI
yaani makala yote ILALA YAKABIDHI MWENGE WA MWENGE WA UHURU KIGAMBONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ILALA YAKABIDHI MWENGE WA MWENGE WA UHURU KIGAMBONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/ilala-yakabidhi-mwenge-wa-mwenge-wa.html
0 Response to "ILALA YAKABIDHI MWENGE WA MWENGE WA UHURU KIGAMBONI"
Post a Comment