Loading...

KAMPUNI YA KUFANYA MATENGENEZO YA UMEME BILA KUUKATA YATUA DODOMA

Loading...
KAMPUNI YA KUFANYA MATENGENEZO YA UMEME BILA KUUKATA YATUA DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI YA KUFANYA MATENGENEZO YA UMEME BILA KUUKATA YATUA DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI YA KUFANYA MATENGENEZO YA UMEME BILA KUUKATA YATUA DODOMA
link : KAMPUNI YA KUFANYA MATENGENEZO YA UMEME BILA KUUKATA YATUA DODOMA

soma pia


KAMPUNI YA KUFANYA MATENGENEZO YA UMEME BILA KUUKATA YATUA DODOMA

NA Said Mwishehe Blogu ya Jamii

UAMUZI wa Serikali ya Awamu ya Tano chini ya utawala madhubuti wa Rais Dk.John Magufuli umesababisha Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Afrique Live Power Line Maintenance T&D Ltd Donald Mwakamele kuamua kuirudisha kampuni yake iliyokuwa nchini Botswana na kuihamishia makao makuu ya nchini Dodoma.

Mwakamele ni mtaalam wa kimataifa wa kufanya matengenezo ya umeme bila kuuzima kupitia teknolojia hiyo imemfanya awe maarufu katika nchini mbalimbali barani Afrika lakini sasa anasema uongozi wa Rais Dk.Magufuli umemfanya arudi nchini na lengo lake kubwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali za kuelekea uchumi wa kati na ujenzi wa Tanzania ya viwanda.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika mahojiano maalumu na Michuzi Blog Mwakemele amesema kilichosababisha arudishe mitambo yake ya kufanya matengenezo ya kuunganisha umeme bila kuuzima umetokana na namna ambavyo Rais Magufuli ameonesha dhamira ya dhati ya kuwainua Watanzania kiuchumi.

Amesema Rais Magufuli ameonesha namna ambavyo anataka kuona nchi yetu inapiga hatua na hivyo ameamua kuja na kauli mbiu ya viwanda , hivyo kwa kutumia taaluma yake ameamua kurudi nchini ili kuhakikisha wawekezaji hawapati nafasi ya kushuhudia umeme ukikatika kwani anao utaalam ambao ukitumika hakuna siku ambayo umeme utakatika.

“Nimekuwa nchini Botswana kwa miaka sita sasa na nikiwa huko nilikuwa nafanya kazi na Shirika la Umeme la nchi hiyo ambalo linafahamika kama BPC.

“Kazi yangu kubwa ilikuwa kufanya matengenezo ya umeme bila kuukata.Pia nilipewa jukumu la kuwasomesha wataalam wao kutumia teknolojia hii ambayo inafahamika kama Live Power Maintenance,”amesema.Amesema akiwa nchini huko amepata nafasi ya kusikiliza hotuba za Rais Magufuli na kuibaini dhamira njema aliyonayo katika kuleta maendeleo ya Taifa letu.Hivyo ameamua kuirejesha mitambo na kampuni yake nchini ili ashiriki kikamilifu kuunga mkono jitihada za Rais.
 Mataifa Mengi yaliyoendelea katika masuala ya viwanda yanaitumia sana teknolojia hiyo kama wanavyoonekana katika picha hii.
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Afrique Live Power Line Maintenance T&D Ltd Donald Mwakamele kulia akiwapa maelezo  wataalam kutoka nchini Kenya ambao walijifunza teknolojia hiyo kwake Morogoro  na sasa wanaitumia nchini mwao.
 Gari Maalum la Mitambo ya kurekebisha umeme bila kuzima ambalo limewasili mkoani Dodoma tayari kwa kazi hiyo.
Gari hili pia ina eneo maalum linalotumika kama darasa kwa wananfunzi lilikwa na vifaa mbalimbali vya kufanyia kazi hiyo.



Hivyo makala KAMPUNI YA KUFANYA MATENGENEZO YA UMEME BILA KUUKATA YATUA DODOMA

yaani makala yote KAMPUNI YA KUFANYA MATENGENEZO YA UMEME BILA KUUKATA YATUA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA KUFANYA MATENGENEZO YA UMEME BILA KUUKATA YATUA DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/kampuni-ya-kufanya-matengenezo-ya-umeme.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI YA KUFANYA MATENGENEZO YA UMEME BILA KUUKATA YATUA DODOMA"

Post a Comment

Loading...