Loading...

Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalalama barabarani kwa kushirikiana na RSA wafanya ukaguzi wa magari Stendi ya nanenane Dodoma

Loading...
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalalama barabarani kwa kushirikiana na RSA wafanya ukaguzi wa magari Stendi ya nanenane Dodoma - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalalama barabarani kwa kushirikiana na RSA wafanya ukaguzi wa magari Stendi ya nanenane Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalalama barabarani kwa kushirikiana na RSA wafanya ukaguzi wa magari Stendi ya nanenane Dodoma
link : Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalalama barabarani kwa kushirikiana na RSA wafanya ukaguzi wa magari Stendi ya nanenane Dodoma

soma pia


Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalalama barabarani kwa kushirikiana na RSA wafanya ukaguzi wa magari Stendi ya nanenane Dodoma

Na.Vero Ignatus .Dodoma. 

Taasisi ya RSA kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani kimefanya ukaguzi wa magari yanayoingia na kutoka stendi kuu ya mabasi mkoani Dodoma nanenane.

Ukaguzi huo umeenda sambaba pamoja na kutoa elimu kwa abiria namna ya kufunga mikanda awapo ndani ya gari,kuzifahamu haki zao za msingi pamoja na kupaza sauti kutokaa kimya pale anapomuona dereva anakiuka sheria na taratibu za usalama barabarani

John Seka ni mwenyekiti wa RSA nchini amesema Imekuwa ni tabia ya Taasisi hiyo kufanya hivyo mara kwa mara ili kuwakumbusha madereva wajibu wao,kufuata taratibu na kanuni za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazosababishwa madereva wazembe .

"Tumejaribu kupenyeza elimu kuhusu maswala ya usalama barabarani na tumefanya hivyo kwasababu ajali zimekuwa zikiongezeka kila siku,hivyo tumeona na sisi kama RSA kuna umuhimu wa kupaza sauti kwaajili ya usalama barabarani"

Askari wa kikosi cha usalama barabarani wankituoncha mabasi mkoani Dodoma Koplo Athuman amewataka RSA kuendelea kushirikiana na Jeshi la polisi katika kutoa taarifa, pale wanapoona mwenendo mbaya wa madereva wawapo barabarani kwani itasaidia kupunguza ajali.Sisi askari hatupo mahali pote ila nyie RSA mkitupa taarifa tutazitendea kazi,endeleeni kutoa elimu kwa abiria na kwa madereva hii itasaidia kupunguza ajali.Alisema Athumani.

Katika ukaguzi huo uliofanyika katika stendi hiyo ya mabasi makosa mbalimbali yamegundulika likiwemo la baadhi ya mabasi kuwaongezea abiria nauli,magari kukosa mikanda,pamoja na baadhi ya magari kuktwa na ubovu mbalimbali.
Baadhi ya mabalozi wa Usalama barabarani wakiwa katika stendi kuu ya mabasi mkoani Dodoma.
Meneja wa TIRA Kanda ya Kati Stella Rutaguzaal akizungumza na mabalozi wa usalama barabarani leo Mkoani Dodoma
Mmoja wa askari wa kikosi cha usalama barabarani akimsaidia mmiliki wa mabasi ya Kamwana Nassoro Khlfani



Hivyo makala Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalalama barabarani kwa kushirikiana na RSA wafanya ukaguzi wa magari Stendi ya nanenane Dodoma

yaani makala yote Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalalama barabarani kwa kushirikiana na RSA wafanya ukaguzi wa magari Stendi ya nanenane Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalalama barabarani kwa kushirikiana na RSA wafanya ukaguzi wa magari Stendi ya nanenane Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/jeshi-la-polisi-kikosi-cha-usalalama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalalama barabarani kwa kushirikiana na RSA wafanya ukaguzi wa magari Stendi ya nanenane Dodoma"

Post a Comment

Loading...