Loading...
title : Rais Magufuli awaapisha Balozi Sokoine na CGP Kasike Ikulu Jijini Dar es Salaam
link : Rais Magufuli awaapisha Balozi Sokoine na CGP Kasike Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Magufuli awaapisha Balozi Sokoine na CGP Kasike Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Phaustine Martin Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha cheo Phaustine Martin Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Joseph Edward Sokoine kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Phaustine Martin Kasike ( watatu kutoka kulia),Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Balozi Joseph Edward Sokoine(watatu kutoka kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wapili kutoka kulia, viongozi wengine wa Serikali pamoja na Maafisa mbalimbali kutoka Jeshi la Magereza nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizugumza jambo na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Phaustine Martin Kasike pamoja na Kamishna Mstaafu wa Jeshi hilo la Magereza Dkt. Juma Ali Malewa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Phaustine Martin Kasike mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala Rais Magufuli awaapisha Balozi Sokoine na CGP Kasike Ikulu Jijini Dar es Salaam
yaani makala yote Rais Magufuli awaapisha Balozi Sokoine na CGP Kasike Ikulu Jijini Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli awaapisha Balozi Sokoine na CGP Kasike Ikulu Jijini Dar es Salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rais-magufuli-awaapisha-balozi-sokoine.html
0 Response to "Rais Magufuli awaapisha Balozi Sokoine na CGP Kasike Ikulu Jijini Dar es Salaam"
Post a Comment