Loading...
title : JESHI LA POLISI KUWAFIKISHA MAHAKAMANI MADEREVA, WAMILIKI WA MAGARI.
link : JESHI LA POLISI KUWAFIKISHA MAHAKAMANI MADEREVA, WAMILIKI WA MAGARI.
JESHI LA POLISI KUWAFIKISHA MAHAKAMANI MADEREVA, WAMILIKI WA MAGARI.
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama barabarani SACP Fortunatus Musilimu.MWAMBA WA HABARI.
NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM.
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabarani limejipanga kuanza msako mkali wa kuwakamata na kuwafikisha mahakamani madera na wamikili wa magari ambayo yanayodaiwa faini za makosa ya usalama barabarani.
Hatua hiyo inakuja kutokana na baadhi ya madereva na wamiliki wa magari kushindwa kulipa faini zao kwa wakati na kusababisha usumbufu kwa jeshi la polisi.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama barabarani SACP Fortunatus Musilimu, amesema kuwa kuanzia sasa wametoa siku saba ili wadaiwa walipe madeni yao.
Kamanda Musilimu amesema kuwa agosti I mwaka huu wataanza msako mkali ili kuwabaini wahusika ikiwemo kuwafikisha mahakamani.
Amesema kuwa ni vizuri madereva wakazingatia sheria, kanuni na alama na michoro ya barabarani kwani kutakuwa na utaratibu wa
"Utafanya msako mkali nchini kote, tutakamata magari yanayodaiwa faini za makosa ya usalama barabarani na watakaokamatwa magari yao yatazuiliwa na watafikishwa mahakamani" amesema Kamanda Musilimu.
Hata hivyo amewataka madereva wote kufata sheria za barabarani kwani muda wowote kutakuwa na utaratibu wa kuzifungia leseni za madereva wanaokwenda kinyume na sheria.
Hivyo makala JESHI LA POLISI KUWAFIKISHA MAHAKAMANI MADEREVA, WAMILIKI WA MAGARI.
yaani makala yote JESHI LA POLISI KUWAFIKISHA MAHAKAMANI MADEREVA, WAMILIKI WA MAGARI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA POLISI KUWAFIKISHA MAHAKAMANI MADEREVA, WAMILIKI WA MAGARI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/jeshi-la-polisi-kuwafikisha-mahakamani.html
0 Response to "JESHI LA POLISI KUWAFIKISHA MAHAKAMANI MADEREVA, WAMILIKI WA MAGARI."
Post a Comment