Loading...

KCB BENKI YAINGIA MKATABA NA TFF KUDHAMINI LIGI KUU

Loading...
KCB BENKI YAINGIA MKATABA NA TFF KUDHAMINI LIGI KUU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KCB BENKI YAINGIA MKATABA NA TFF KUDHAMINI LIGI KUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KCB BENKI YAINGIA MKATABA NA TFF KUDHAMINI LIGI KUU
link : KCB BENKI YAINGIA MKATABA NA TFF KUDHAMINI LIGI KUU

soma pia


KCB BENKI YAINGIA MKATABA NA TFF KUDHAMINI LIGI KUU



Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) na Benki ya KCB wamesaini mkataba wa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2018/19 wenye thamani ya shilingi Milioni 420.

TFF wamefikia makubaliano hayo KCB baada ya wadau mbalimbali kuanza kuhoji juu ya udhamini wa ligi hiyo kutokana na kampuni ya Vodacom iliyokuwa ikidhamini mkataba wake kumalizika.

Licha ya kusaini na KCB, awali ilikuwa inaelezwa kuwa TFF itafanya mazungumzo mengine na Vodacom ya kuweza kuongeza mkataba mwingine lakini haijajulikana mpaka sasa kuwa mazungumzo hayo yamefikia wapi.

Baada ya kuingia mkataba na benki hiyo, Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19 inatarajia kuanza Agosti 22 ambapo tayari ratiba ya msimu mzima imeshatoka.


Hivyo makala KCB BENKI YAINGIA MKATABA NA TFF KUDHAMINI LIGI KUU

yaani makala yote KCB BENKI YAINGIA MKATABA NA TFF KUDHAMINI LIGI KUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KCB BENKI YAINGIA MKATABA NA TFF KUDHAMINI LIGI KUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/kcb-benki-yaingia-mkataba-na-tff.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KCB BENKI YAINGIA MKATABA NA TFF KUDHAMINI LIGI KUU"

Post a Comment

Loading...