Loading...

LTSP YAPONGEZWA KWA KUTATUA KERO ZA ARDHI MOROGORO

Loading...
LTSP YAPONGEZWA KWA KUTATUA KERO ZA ARDHI MOROGORO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LTSP YAPONGEZWA KWA KUTATUA KERO ZA ARDHI MOROGORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LTSP YAPONGEZWA KWA KUTATUA KERO ZA ARDHI MOROGORO
link : LTSP YAPONGEZWA KWA KUTATUA KERO ZA ARDHI MOROGORO

soma pia


LTSP YAPONGEZWA KWA KUTATUA KERO ZA ARDHI MOROGORO

Mradi wa kuwezesha umilikishaji wa ardhi LTSP, umepongezwa kwa kufanikiwa kutatua kero ya migogoro sugu thelathini na tano ya ardhi iliyodumu kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi na tano  na kusababisha vifo, majeruhi na upotevu wa mali.

Hayo yalibainishwa jana na kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa,Charles Kabeho wakati wa zoezi la ugawaji wa hati 3,063 za kimila kwa  wanavijiji wa vijiji vya Igima na Mpofu vilivyoko kata ya Mbingu,wilaya ya Kilombero mkoani morogoro.

“Napenda kuishukuru serikali kupitia mradi wa upimaji na urasimishaji ardhi(LTSP) chini ya Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi kutatua migogoro hiyo kwa kupima ardhi,kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi na utoaji wa hati za kimila,”alisema.

Aliongeza tangu mradi huo wa majaribio ufike kwenye wilaya tatu za Malinyi,Ulanga and Kilombero,migogoro hiyo imekomeshwa kwa kufanya uratibu mzuri wa masuala ya ardhi.
                                                                  
Kwa mujibu wa kiongozi huyo,hati hizo za kimila zitawasaidia wanavijiji hao kupata mikopo na kuhuisha thamani ya ardhi zao tofauti ilivyo awapo awali.
 Mratibu wa mradi wa Mradi wa LTSP Godfrey Machabe akisoma taarifa ya mradi kwa kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Charles Mabeho (Hayupo pichani) baada ya Mwenge kuwasili katika kijiji cha Igima Kata ya Mbingu Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro.
  Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Charles Mabeho akimkabidhi Hati ya Kimila mkazi wa kijiji cha Igima katika hafla fupi iliyofanyika mara baada ya Mwenge kuwasili kijijini hapo. 
 Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Charles Mabeho akipata maelezo kutoka kwa kiongozi wa kazi za uwandani wa mradi wa LTSP Swagile Msananga baada ya Mabeho kufika katika banda la LTSP 
Charles Mabeho akiwa na viongozi wa wilaya ya Kilombero, Mratibu wa mradi wa LTSP na wananchi waliojitokeza kuupokea Mwenge wakicheza muziki uliokuwa ukiimbwa na Mrisho Mpoto (hayupo Pichani).


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala LTSP YAPONGEZWA KWA KUTATUA KERO ZA ARDHI MOROGORO

yaani makala yote LTSP YAPONGEZWA KWA KUTATUA KERO ZA ARDHI MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LTSP YAPONGEZWA KWA KUTATUA KERO ZA ARDHI MOROGORO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/ltsp-yapongezwa-kwa-kutatua-kero-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LTSP YAPONGEZWA KWA KUTATUA KERO ZA ARDHI MOROGORO"

Post a Comment

Loading...