Loading...
title : Kilele cha maadhimisho ya siku ya Ushirika duniani chafanyika Zanzibar
link : Kilele cha maadhimisho ya siku ya Ushirika duniani chafanyika Zanzibar
Kilele cha maadhimisho ya siku ya Ushirika duniani chafanyika Zanzibar
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali kushoto akipatiwa maelezo na kijana Rashid Kaimu Rashid kutoka Ushirika wa Chakiumu kuhusiana na utengenezaji wa Chauro za Unga wa muhogo katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani yaliofanyika Chuo cha Amali Mkokotoni Kaskazini A Unguja.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali katikati akiwa pamoja na Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico wa mwanzo kulia na Mkurugenzi mtendaji wa DNL Express Tanzania Paul Makolosi kushoto wakiangalia Bidhaa mbalimbali za wanaushirika katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani yaliofanyika Chuo cha Amali Mkokotoni Kaskazini A Unguja.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akibonyeza kitufe kuashiria Uzinduzi wa Websait ya Vyama vya Ushirika katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani yaliofanyika Chuo cha Amali Mkokotoni Kaskazini A Unguja.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akimkabidhi Cheti cha Shukrani Hassan Hassan kwa kuchangia Maadhimisho na kufanikiwa katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani yaliofanyika Chuo cha Amali Mkokotoni Kaskazini A Unguja.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akitoa hotuba katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani yaliofanyika Chuo cha Amali Mkokotoni Kaskazini A Unguja.kulia ni Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico na kushoto ni Muakilishi wa Mkuu wa Mkoa Kaskazini na Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja Hassan Ali Kombo.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Kilele cha maadhimisho ya siku ya Ushirika duniani chafanyika Zanzibar
yaani makala yote Kilele cha maadhimisho ya siku ya Ushirika duniani chafanyika Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kilele cha maadhimisho ya siku ya Ushirika duniani chafanyika Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/kilele-cha-maadhimisho-ya-siku-ya.html
0 Response to "Kilele cha maadhimisho ya siku ya Ushirika duniani chafanyika Zanzibar"
Post a Comment