Loading...

KLABU YA SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA UBELGIJI

Loading...
KLABU YA SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA UBELGIJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KLABU YA SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA UBELGIJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KLABU YA SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA UBELGIJI
link : KLABU YA SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA UBELGIJI

soma pia


KLABU YA SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA UBELGIJI

Kocha mpya wa Simba  Mbelgiji Patrick Aussems akipga sahihi ya makubaliano katika mkataba.
 Na Noel Rukanuga.
Uongozi wa klabu ya Simba umemtangaza rasmi kocha wao mpya, Mbelgiji Patrick Aussems, kwa ajili kuanza kazi ya kuiandaa timu kuelekea mashindano ya Ligi Kuu Tanzania bara pamoja na michuano ya kimataifa.

Simba wameingia makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja na Aussems akiwa anachukua mikoba ya Mfaransa, Pierre Lechantre ambaye alimaliza muda wake.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya mabosi wa Simba kugoma kumuongezea mkataba Lechantre ambaye alipewa timu kwa muda wa miezi sita pekee na baada ya kumalizika wakaacha naye.

Aussems amesaini mkataba huo mbele ya Makamu Rais wa klabu hiyo, Salim Abdallah maarufu kama Try Again, sambamba na Kaimu Makamu wa Urais, Idd Kajuna pamoja na Waandishi wa Habari.

Kocha huyo amewahi kuzinoa timu kadhaa za Afrika ikiwemo AC Leopards ya Congo, KSA Cameroon ya Cameroon, ES Troyes AC ya Ufaransa na zingine zilizopo  je ya Afrika.

Simba wamefikia hatua ya kumpa mkataba wa mwaka mmoja baada ya kuridhishwa na CV zake hivyo kuona anastahili kukinoa kikosi hicho ambacho kimeshiriki michuano ya SportPesa Super CUP na KAGAME bila ya Kocha Mkuu.

Wakati Aussems akimwaga wino, kikosi cha Simba kinatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi unaotaraji kuanza Agosti 22


Hivyo makala KLABU YA SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA UBELGIJI

yaani makala yote KLABU YA SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA UBELGIJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KLABU YA SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA UBELGIJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/klabu-ya-simba-yamtambulisha-kocha-mpya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KLABU YA SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA UBELGIJI"

Post a Comment

Loading...