Loading...
title : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar.
link : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kulia akiwa na Uongozi wa Wizara ya Afya Ofisini kwake Vuga kutathmini ziara yake aliyoifanya siku mbili zilizopita katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja.Ziara hiyo ilikuwa na lengo la kuangalia changamoto zinazoikabili Hospitali hiyo pamoja na Watendaji wake ambapo aliuagiza Uongozi wa Hospitali hiyo kutanzua malalamiko ya haki za Watendaji wake.
Picha na – OMPR – ZNZ.
Hivyo makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar.
yaani makala yote Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar-mhe_27.html

0 Response to "Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar."
Post a Comment