Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Azungumza na Kuagana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Azungumza na Kuagana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Azungumza na Kuagana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Malawi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bibi.Hawa Olga Ndilowe alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais, akimaliza muda wake wa kazi Nchini,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Malawi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bibi.Hawa Olga Ndilowe alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais, kwa kumaliza muda wake wa kazi Nchini,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Malawi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bibi.Hawa Olga Ndilowe baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais,kwa kumaliza muda wake wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu.] 27/07/2018.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Azungumza na Kuagana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Azungumza na Kuagana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Azungumza na Kuagana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_83.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Azungumza na Kuagana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania"
Post a Comment