Loading...

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI ATEMBELEA BANDA LA (NSSF) LEO

Loading...
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI ATEMBELEA BANDA LA (NSSF) LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI ATEMBELEA BANDA LA (NSSF) LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI ATEMBELEA BANDA LA (NSSF) LEO
link : MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI ATEMBELEA BANDA LA (NSSF) LEO

soma pia


MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI ATEMBELEA BANDA LA (NSSF) LEO



Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimsikiliza Kaimu meneja Uhusiano na Masoko wa Shirika la Hifadhi za Jamii (NSSF) Salim Khalfan wakati akimpa maelezo alipotembelea kwenye banda la shirika hilo katika maonesho ya Sabasaba yaliyomalizika na kufungwa leo kwenye viwanja vya (TanTrade) Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo katikati ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje (TanTrade) Bw. Edwin Rutageruka na kulia ni Afsa Uhusiano na masoko Bi Angela Michael.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa (NSSF) mara baada ya kuwasili katika banda hilo leo kwa lengo la kulitembelea.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Afisa Uhusiano wa (NSSF) Bi Angela Michael wakati alipowasili katika banda hilo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Uhusiano na Masoko wa (NSSF) Bi. Angella Michael baada ya kutembelea katika banda hilo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa (NSSF) mara baada ya kutembelea banda hilo.


Hivyo makala MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI ATEMBELEA BANDA LA (NSSF) LEO

yaani makala yote MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI ATEMBELEA BANDA LA (NSSF) LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI ATEMBELEA BANDA LA (NSSF) LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/makamu-wa-pili-wa-rais-zanzibar-balozi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI ATEMBELEA BANDA LA (NSSF) LEO"

Post a Comment

Loading...